Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Waafrika wakishafanya uzembe, Hawataki kuwa responsible na uzembe wao.Hivi sasa ni vihoja baada ya HOJA kutushinda😅
Waafrika bhana...🙌 wao na uchawi/miujiza ni sawa na chura na maji.🤣
Wanaanza kuleta imani zao za kipumbavu.