Mpira wa TZ bado saana

Mpira wa TZ bado saana

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Natazama Simba na Yanga

wachezaji wanatoa pasi za upofu sana
yaaani mchezaji anapeleka pasi eneo ambalo hakuna mchezaji wa timu yake

kingine naona jinsi ya ku cover nafasi ni kama wachezaji wetu hawajui
mtu yuko nyuma ya mchezaji pinzani halafu anaomba pasi
na ajabu zaidi anapelekewa pasi pia...

mpira wetu baado saana

na Rafu nyingi tu za red card refa kazichunia
 
Mimi bahati mbaya nikiwa Tanzania nilikuwa siujuwi mpira kabisa-ikatokea bahati nikaja kuujua nikiwa nje. It happened I was in Tanzania nikaenda stadia kutazama Yanga na Simba-to be frank I was more then disappointed sikutegemea standards to be that low-as far as I am concerned Tanzania hatuchezi mpira we just run around
 
Sure mkuu the Boss kwa kufatilia soka la bongo tuna tatizo kubwa sana na wala sioni dalili ya kubadilika
 
Mpira ni mwepesi ukiwa nje ya uwanja ingia Kati uone shuguli yke na hakuna kz nyepesi km kukosoa ata mtt mdgo anaweza kosoa....
 
Na bado ukiwaelezea wanakuambia huna uzalendo. ...yaan ss bado ni cha ndimu tu. ..
 
Yaani me nikimuona mtu anaumwa kisa kakosa kuangalia Simba na Yanga huwa namshangaa sana. Mechi nyingi nilizowahi kuziona huwa wanacheza mpira mbovu kiasi kwamba nimepoteza kabisa shauku ya kuwaona yaani bora hata ndondo cup
 
wewe utakuwa yanga bila shaka hahaha
 
Yaani me nikimuona mtu anaumwa kisa kakosa kuangalia Simba na Yanga huwa namshangaa sana. Mechi nyingi nilizowahi kuziona huwa wanacheza mpira mbovu kiasi kwamba nimepoteza kabisa shauku ya kuwaona yaani bora hata ndondo cup
9ede352e8d521b55d7cdddcf10de11b3.jpg

Umejeruhiwa!???
 
Mimi bahati mbaya nikiwa Tanzania nilikuwa siujuwi mpira kabisa-ikatokea bahati nikaja kuujua nikiwa nje. It happened I was in Tanzania nikaenda stadia kutazama Yanga na Simba-to be frank I was more then disappointed sikutegemea standards to be that low-as far as I am concerned Tanzania hatuchezi mpira we just run around

Ukipata nafasi tazama mpira wa timu za Egypt
au South Africa au Moroco....
 
Back
Top Bottom