Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
tupimane HISIA HAPAPole mkuu naona unajitahidi kueleza hisia zako juu ya ndala fc... Ule mpira yanga hawakupiga pasi nyingi kama simba. Wao walikuwa wanapiga mipira mirefu na kwakuwa haikufika kwa walengwa walionekana kama wanabutua tu usijipe upofu kisa ushabiki mkuu timu zote zilikuwa hovyo ila kusema yanga alimzidi simba pasi umedanganya kweupe