Mpira wenye teknolojia ya Kisasa ndio utatumika kwenye kombe la Dunia 2026, Una sensa ya kutambua mpaka uelekeo

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Mwaka huu katika kombe la dunia, aina ya mpira ambao utatumika utakuwa na teknolojia mpya ya kisasa zaidi.

Mipira hiyo ya Adidas inaitwa Trionda, itakuwa na sensor maalum na chip ya IMU inayokusanya taarifa mara 500 kwa sekunde itakuwa na uwezo wa kutambua

Mpira umeguswa,
Location ya mpira,
Muda wa kila tukio,
Kutambua double touch kwenye penati,
Kutambua speed,
Mwelekeo wa mpira,
Accuracy za pasi na mashuti.

Sensor yake imeweka katikati ya mpira ili kuhifadhi balance ya mpira, kuwa na movement kama mpira halisi na kuwa na uzito sahihi.

Mfumo wake umeunganishwa na computer za VAR, antena za uwanjani na system ya AI.

Betri yake inakaa na charge masaa 6, na unachajiwa kwa wireless ili kuhakikisha hakuna port ya kuchaji ili kuepuka kuathiri umbo la mpira na kuumiza mchezaji akipiga kichwa. Hivyo unachajiwa kwa pad maalum inayochaji kwa wireless.

Unaonaje teknolojia hii?
 
Sasa hiyo siinisawa nanakudumaza skills za wachezaji au ndo kusema hakuna kipya kwenye mpira hivyo nisawa tu?
 
Mwaka huu katika kombe la dunia, aina ya mpira ambao utatumika utakuwa na teknolojia mpya ya kisasa zaidi.

Mipira hiyo ya Adidas inaitwa Trionda, itakuwa na sensor maalum na chip ya IMU inayokusanya taarifa mara 500 kwa sekunde itakuwa na uwezo wa kutambua

Mpira umeguswa,
Location ya mpira,
Muda wa kila tukio,
Kutambua double touch kwenye penati,
Kutambua speed,
Mwelekeo wa mpira,
Accuracy za pasi na mashuti.

Sensor yake imeweka katikati ya mpira ili kuhifadhi balance ya mpira, kuwa na movement kama mpira halisi na kuwa na uzito sahihi.

Mfumo wake umeunganishwa na computer za VAR, antena za uwanjani na system ya AI.

Betri yake inakaa na charge masaa 6, na unachajiwa kwa wireless ili kuhakikisha hakuna port ya kuchaji ili kuepuka kuathiri umbo la mpira na kuumiza mchezaji akipiga kichwa. Hivyo unachajiwa kwa pad maalum inayochaji kwa wireless.

Unaonaje teknolojia hii?
Mpira umeharibika
 
Ipo siku mechi itachelewa kuanza kisa mpira hausomani au hautoi signal kwenye chumba cha VAR
 
Kwa hali hii bingwa ashapangwa kuanhalia kombe la Dunia ni kupoteza mda
 
Mwaka huu katika kombe la dunia, aina ya mpira ambao utatumika utakuwa na teknolojia mpya ya kisasa zaidi.

Mipira hiyo ya Adidas inaitwa Trionda, itakuwa na sensor maalum na chip ya IMU inayokusanya taarifa mara 500 kwa sekunde itakuwa na uwezo wa kutambua

Mpira umeguswa,
Location ya mpira,
Muda wa kila tukio,
Kutambua double touch kwenye penati,
Kutambua speed,
Mwelekeo wa mpira,
Accuracy za pasi na mashuti.

Sensor yake imeweka katikati ya mpira ili kuhifadhi balance ya mpira, kuwa na movement kama mpira halisi na kuwa na uzito sahihi.

Mfumo wake umeunganishwa na computer za VAR, antena za uwanjani na system ya AI.

Betri yake inakaa na charge masaa 6, na unachajiwa kwa wireless ili kuhakikisha hakuna port ya kuchaji ili kuepuka kuathiri umbo la mpira na kuumiza mchezaji akipiga kichwa. Hivyo unachajiwa kwa pad maalum inayochaji kwa wireless.

Unaonaje teknolojia hii?
Freemason🤣
 
Nasi wengne waboreshe kweny mipila yet tuwe tunaon touch na kila angle
 
Bado Sasa Binadamu awekee na yeye chip acheze km PS

Na viatu viwekewe chip Mchezaji akitoa basi ifike kwa usahihi
 
Mwaka huu katika kombe la dunia, aina ya mpira ambao utatumika utakuwa na teknolojia mpya ya kisasa zaidi.

Mipira hiyo ya Adidas inaitwa Trionda, itakuwa na sensor maalum na chip ya IMU inayokusanya taarifa mara 500 kwa sekunde itakuwa na uwezo wa kutambua

Mpira umeguswa,
Location ya mpira,
Muda wa kila tukio,
Kutambua double touch kwenye penati,
Kutambua speed,
Mwelekeo wa mpira,
Accuracy za pasi na mashuti.

Sensor yake imeweka katikati ya mpira ili kuhifadhi balance ya mpira, kuwa na movement kama mpira halisi na kuwa na uzito sahihi.

Mfumo wake umeunganishwa na computer za VAR, antena za uwanjani na system ya AI.

Betri yake inakaa na charge masaa 6, na unachajiwa kwa wireless ili kuhakikisha hakuna port ya kuchaji ili kuepuka kuathiri umbo la mpira na kuumiza mchezaji akipiga kichwa. Hivyo unachajiwa kwa pad maalum inayochaji kwa wireless.

Unaonaje teknolojia hii?
Sijui ni kweli au jamaa anatupeka peleka
 
Back
Top Bottom