Mpira wenye teknolojia ya Kisasa ndio utatumika kwenye kombe la Dunia 2026, Una sensa ya kutambua mpaka uelekeo

Mpira wenye teknolojia ya Kisasa ndio utatumika kwenye kombe la Dunia 2026, Una sensa ya kutambua mpaka uelekeo

Mwaka huu katika kombe la dunia, aina ya mpira ambao utatumika utakuwa na teknolojia mpya ya kisasa zaidi.

Mipira hiyo ya Adidas inaitwa Trionda, itakuwa na sensor maalum na chip ya IMU inayokusanya taarifa mara 500 kwa sekunde itakuwa na uwezo wa kutambua

Mpira umeguswa,
Location ya mpira,
Muda wa kila tukio,
Kutambua double touch kwenye penati,
Kutambua speed,
Mwelekeo wa mpira,
Accuracy za pasi na mashuti.

Sensor yake imeweka katikati ya mpira ili kuhifadhi balance ya mpira, kuwa na movement kama mpira halisi na kuwa na uzito sahihi.

Mfumo wake umeunganishwa na computer za VAR, antena za uwanjani na system ya AI.

Betri yake inakaa na charge masaa 6, na unachajiwa kwa wireless ili kuhakikisha hakuna port ya kuchaji ili kuepuka kuathiri umbo la mpira na kuumiza mchezaji akipiga kichwa. Hivyo unachajiwa kwa pad maalum inayochaji kwa wireless.

Unaonaje teknolojia hii?
mie hapa tuu ndio napo wapendeaa wazungu...always thinking and inovating sio kubai kusema mipango ya mungu, mara mungu akupanga sie tushinde ujinga mtupu.
 
Back
Top Bottom