Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
MPO KWENYE STAREHE, SI MUMEO UNABEBA MIMBA. HIVI UNAAKILI SAWASAWA.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli
Baba.
1. Binti Yangu, usijeniletea aibu za rejareja hapa.
2. Nilikufundisha tangu mwanzo, anayepata madhara zaidi ndiye anatakiwa kujihami. Nikakuambia Jambo lolote ambalo wewe ndio utakuwa mhanga zaidi basi wewe ndiye unatakiwa ujihami, ujilinde kuliko Yule asiyepata madhara.
3. Umeamua kuasi, hufuati mausi yangu kama Babaako. Ukaamua kufanya uasheratiz ufuska, uzinzi, uchafu. Haya Fanya basi kama MTU mwenye Akili.
4. Nilikuambia sharti uolewe ukiwa bikra kwani ndivyo Binti za Tibeli walivyo. Kama sisi Baba zao tunavyooa Mama zenu katika ubikira wao.
5. Binti Yangu, usiposikia mausia yangu, mimi Babaako ni hakika utapata madhara,
I) Utadharaulika,
ii) Mumeo hatakuheshimu
iii) Mumeo hatakuamini na anahaki ya kutokukuamini kwa sababu hakukuta na ubikira wako. Hivyo hajui mbele wametangulia wangapi.
6. Ndio maana Mimi Babaako ninakuusia Kila Siku. Ingawaje inaweza ikawa inakuumiza lakini nazungumzia hadhi na heshima na utu wako.
7. Ukiasi, ukawa Malaya, ukaamua kuonjaonja vitu nilivyokuambia uwe na subira. Usubiri muda wake. Basi usiwe Mjinga wa moja kwa moja.
8. Kuzini umezini bado uwe mjinga au uamue kujizima data?
9. Mahusiano kabla ya ndoa ni starehe. Starehe sio Wajibu. Hivyo usijejibebesha majukumu ya kubeba mimba wakati unafanya starehe zako za kipuuzi.
10. Unabebaje Mimba kwa mwanaume asiye mumeo?
11. Hakuna mwanaume ambaye hajakuoa akikufanya anawaza mambo ya Mamimba yako. Mimi Babako nami nilikuwa kijana kama hao vijana wanaokutongoza huko.
12. Mwanaume ambaye sio mumeo. Anawaza jinsi atakavyokufunua chupi lako, kisha akufanye then akishamwaga kama alikuwa anakuona Mzuri. Uzuri wote unapotea na nikuambie ukweli binti Yangu
Mwanaume anajuta kwa nini alilala na wewe na kujilaumu. Kwa sababu Ile ilikuwa tamaa.
13. Usikubali kubeba Mimba za Kitamaa tamaa. Utazaa vitoto vya zinaa(vyatamaa). Vinavyoongozwa na tamaa ya mwili.
14. Mwanaume yeyote ambaye yupo tayari kukuoa, anasifa unazozihitaji hasa zile nilizokutajia babaako. Kubali akuoe. Mlete nyumbani kwa Mimi Babaako, au Mamaako, nenda kwao, Baba na Mamake.
Olewa. Kisha Beba Mimba.
Bahati nzuri sisi Watibeli hatunaga mambo Mahari.
Kigezo kikuu ni Zile sifa muhimu za mtu unayetaka kuolewa naye.
15. Unajibebesha Mamimba unasingizia Mwanaume amekupa Mimba. Alikupa mimba yeye ni Mumeo?
Uliona wapi Kahaba akabeba Mimba kwenye makasino huko?
16. Unapofanya ngono kabla ya kuolewa automatically wewe ni Malaya, na Malaya habebeshwi mimba. Unanielewa binti Yangu.
17. Mtoto wa Malaya hanaga Baba, unanielewa Binti Yangu? Najua ni kauli zinazoumiza lakini ndivyo Watibeli tulivyo. Ukweli unaouma ni Bora kwani utajizuia na kujua uhalisia wa kile kinachotokea mbele yako.
18. Haya umeamua kuwa Malaya, badala utumie uzazi wa mpango kama sehemu ya kuzuia ajali kazini. Unajiendea kichwa kichwa kama hamnazo hivi.
19. Kuliko utoe mimba ni Bora utumie uzazi wa mpango aiseeh!
20. Umepata Mimba unasumbua watu.
Kwanza ulikuwa unajiabisha kisiri kwani tendo la ndoa la umalaya hufanyika faraghani.
21. Sasa umepata mimba, unaamua kuianika aibu hadharani, unajiabisha na kuabisha wazazi walk. Alafu mwisho kabisa uliyembeba tumboni naye anajiandaa kwa aibu atakapozaliwa.
22. Unapomwambia mwanaume unamimba yake hakika anakuona hamnazo, mjinga, huna akili. Mimba kivipi? Mimi Mumeo?
Nilikuambia nataka mtoto?
Kama nilikuwa nataka mtoto ningeshakuoa unizalie mtoto kama Mke wangu.
23. Unaongeza mzigo kwa Wazazi wako. Unawapa majukumu yasiyoyao. Alafu kwa vile wewe ni mjinga Sana unaona ni sawa. Sasa sio mjinga tena Bali mpumbavu.
24. Unaenda kwa Mwanaume aliyekupa mimba ili akuoe. Anakuambia Mimi sina mpango wa kukuoa. Nina mtu wangu. Ulivyo lijinga unalalamika, sasa unalalamika nini? Jilaumu kwa ujinga wako mwenyewe.
25. Aliyekuambia Kubeba mimba wakati WA uzinzi na uasherati ni ticket ya kuolewa ni nani?
Wanaume Ngono kwao no starehe. Ishu ya watoto watawapata kwa Wake zao huko waliowaoa. Sio wewe unayejibebesha mimba wakati wa starehe.
26. Binti Yangu, hakuna kitu wanaume hawapendi na hawatamani kama Kuoa wanawake ambao tayari wanawatoto wa wanaume wengine yaani single Mother
27. Sasa kwa nini ubebe mimba kabla ya kuolewa ilhali unajua kuna matatizo mengi Sana kwa kufanya hivyo?
28. Kwamba mwanaume mwingine alee mtoto asiye wake, mtoto ambaye Hana mamlaka naye hata dunia ipinduke. Kisha mtoto huyo baadaye aende kwa Babaake? Kweli?
29. Kwa nini umpe mtoto wako ugumu wa kulelewa na Baba asiye wake. Then hapohapo umpe mtihani wa achague kati ya Baba Mzazi na Baba wa kambo.
Wakati maamuzi yako yangeweza kubadili Kila kitu na kumpa mtoto unafuu, upendo na heshima.
30. Binti Yangu. Kwanini ukejeliwe na uamuzi wako mwenyewe. Usijesema ni uamuzi wako. Uamuzi wako unaathiri na unagusa watu wengine.
31. Unabeba mimba uliombwa?
32. Unakuwa single mother hivi unajua Wakwe zako wanajisikiaje kijana wao kuoa single mother wakati kuna mabinti wengi wadogo wabichi wasio na watoto?
Usiwe kama wale wanawake wajinga wanaofikiri kirahisi kwamba aaah! Kwani kuoa single mother ni dhambi sio tatizo.
33. Kuzaa na wanaume tofauti tofauti kwako sio tatizo binti Yangu?
Sio tatizo ndio kama uliolewa ukazaa, kisha mumeo akafariki sawa au mkatalakiana. Jambo ambalo halitokei kirahisi.
34. Lakini kubeba mimba ndio Kwanza binti Mdogo ukiwa kwenu. Ni unaidhalilisha familia yenu binti Yangu. Kwanba Sisi hatukukulea vizuri. Sisi hatujui Kulea na ushahidi upo sio kwamba wanaongea bila ushahidi.
35. Sifa ya mwanamke ni Kuringa. Sasa uliona wapi mwanamke anayeringa akabebeshwa Mimba kiholela kabla ya ndoa. Kuringa ni kujitunza, kujua thamani yako, kujua maisha yako ni kwaajili ya familia yako, mumeo na watoto mtakaowapata.
36. Sasa wewe hujua nani wakumbebea mimba. Lini na wapi pakubebea mimba. Unajibebea tuu. Really. Ni kwamba mimi Baba na Mama yako tutaonekana hatukufundisha.
37. Baba yako nimemaliza. Ni hiyari yako kufuata mafundisho Yangu. Usiwe kama wale wanawake wapumbavu. Fuata hekima zangu.
38. Mtoto anahitaji malezi Baba na Mama. Mama ni wewe hivyo Baba lazima awe mtu unayemuamini, mliyepanga kabisa kwa jukumu Hilo adhimu. Usijiendee endee.
Nimaliza. Kunywa maji utafakari binti yangu.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam