Mpo kwenye starehe, si mumeo, unabeba Mimba! Hivi una akili sawasawa?

Is about shit,

Single mothers 99% wanatokana na upumbavu wao wenyewe.
 
Mwenye summary ya alichosema mtoa mada aweke hapa!
 
That's simple mathematics

Ukifanya ngono bila Kinga au any protection utapata either magonjwa , mimba n k

Is kidding kuwaona masingle mama wanalalamika kutelekezwa
 
Sijasoma yote ila nasikiaga wanasema ati mimba ya bahati mbaya Pumbavu zao😎😎😎😎
 
Kwahiyo ni ruksa kufanya starehe lakini mimba zisibebwe? Vipi kuhusu magonjwa?
 
Kwahiyo ni ruksa kufanya starehe lakini mimba zisibebwe? Vipi kuhusu magonjwa?

Ndio yaleyale

Ukibeba magonjwa kwa zinaa hakuna wa kumlaumu. Jilaumu Kwanza wewe kwa kujua wewe unaweza kuwa mhanga WA magonjwa alafu hujihami.

Ni mwanamke mjinga na mpumbavu pekee atabeba mimba ya mwanaume asiyemume wake alafu mwanamke huyo Hana mbele wala nyuma. Kula Yake tuu ni mtihani. Ni dalili ya utindio wa ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…