Mpoki Aonekana wilayan Magu mkoan Mwanza

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
134
Jmn huyu nguli wa vituko pale zeCOMEDY,
yupo ndan ya hii wilaya cjui anapga mishe gan huku?, naona watu wa wilaya hii wanajazana kwenye tax alyomo,
naona yumo yeye na mkewe,
naskia sasa hv anaelekea kwa mkuu wa wilaya,
nadhan kutakua na dili linachezwa huko
teh teh teh
 
ahhhh mimi nimeshtuka nikidhani huo mji hakuna binadamu na huyo Mpoki ndio binadamu wa kwanza kuonekana mjini hapo kumbe wako wengi tu tena wamemzunguka
 
Duh! Mimi nilifikiri hiyo mpoki ni aina flani ya Allien imetua huko,,,,kumbe bwongo muvi???? Bado muko mbali na dunia
 
Mi hakika nilidhani huyu mpoki ni wanted may be ndiye imegundulika ndiye anayemwagia watu tindikali nikajuwa big issue
 
Wasukuma nao hasa wa Magu wamezidi kwa ushamba.
 

umeutumia vizuri uhuru wako wa kutoa habari kwa jamii.
 
nulijua amefumaniwa ..sasa kuonekana uko ni maajabu nayo! wewe ulioleta habari ndio maajabu
 
na huu nao ni uzi kwa ajili gani???!!!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…