Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 134
Jmn huyu nguli wa vituko pale zeCOMEDY,
yupo ndan ya hii wilaya cjui anapga mishe gan huku?, naona watu wa wilaya hii wanajazana kwenye tax alyomo,
naona yumo yeye na mkewe,
naskia sasa hv anaelekea kwa mkuu wa wilaya,
nadhan kutakua na dili linachezwa huko
teh teh teh