Mpoki atangaza vita na Shigongo & Joseph Shaluwa wa GPL

Mpoki atangaza vita na Shigongo & Joseph Shaluwa wa GPL

hata kama nna ushahidi wote kuonyesha hizo tuhuma

Hata uwe na ushahidi wote wa video na picha mnato hawafanywi kitu haukumbuki sakata la binti kubakwa na mh. wa mjengoni ushahidi hadi wa m-pesa lakini kimyaaa zzzzzzZzzzzzzzz.
 
Niliwai kuwa na kicheche msanii maarufu enzi hizo. Hawa jamaa wa shigongo walikua wanashinda pale hm mradi wapate story.
Ilifika muda wanamwambia kabisa bana wiki hii tunakuandika na kashfa. Demu anapewa advance halafu kimalizio gazeti likiuzwa.
Inatolewa story hiyo uongo mtupu demu analia
Siku nzima. Siku ya pili wanammalizia choke, swala linawekwa kapuni. Wanavijiji walionunua gazeti inakula kwao
 
♥Ukiona unapendwa sana na mademu ujue una nyota ya ukimwi
♥Ulaya wamegundua iphone 5 na sie tumegundua division 5
♥Msemo wa waache waseme mchana usiku watalala,je ukisemwa na walinzi?
♥Usiombe umtongoze demu wa hosteli ni balaa watakuja kama wanne kwenye first date halafu waliobaki hostel wenzake wote wanataka chpsi kuku chips kuku.
♥Ukimtongoza demu unamkuta na simu ya tochi lakini baada ya mda anataka blackberry mara samsung gallaxy hadi htc
♥zamani wanaume walikuwa wananyanyua vyuma kupata mademu,siku hizi mademu wanataka hela nyanyua chuma uishie kuwa baunsa.

metisha
 
Katika wimbo wake mpya alio mshirikisha Ben Paul. Mpoki anasikika akisema maneno yafuatayo :


" WATU WA BONGO MOVIE, WALA MSILALAMIKE KUPOROMOKA KWA MAUZO YA KAZI ZENU, KWANI ANAYE WACHAFUA NI MSUKUMA WA BAMAGA NA NYIE MNAMJUA, NA NYIE HAO HAO NDIO MNAO MUENDEKEZA,
NA NDIO MAANA NILIWA AMBIA SISOMI MAGAZETI YA UDAKU MKANIONA CHIZI,
NA SASA HIVI UKINIAMBIA NIMTAJE MUANDISHI BORA WA KIKE, MI NTAMTAJA DADA SHALUWA "


Sikiliza wimbo huu hapa chini..

DOWNLOAD NA SIKILIZA WIMBO MPYA: MPOKI FT BEN POL - UMIZA KICHWA - DUNIA KIGANJANI

TUSUBIRI SHIGONGO ATA RESPOND VIPI, BUT UZOEFU UNAONYESHA KUWA SHIGONGO HUWA HARSPOND BEEF ZA WASANII, MWAKA 2004 DUDUBAYA ALIMDISS VIBAYA SANA SHIGONGO KUPITIA CHANNEL TEN, 3 DAYS LATER DUDU ALIWEKWA NDANI KWA KOSA LA KUMPIGA MR. NICE, SHIGONGO HUYO HUYO AKAENDA KUMTOA, NA INASEMEKANA ALIKAA NAE KAMA MDOGO WAKE, WAKAYAMALIZA NA KUENDELEA NA MAISHA KAMA KAWAIDA.
Nadhan kama yalimtokea ya Dudubaya si Lazima yamtokee Mpoki,na Shigongo ni Binadam kama Mpoki,wote wanakosea,hivi Shigongo nae utasema anaisaidia Jamii kwa vijarida vyake vile?na Mpoki naye anaisaidia nini jamii,me nawaona wote Majuha
 
Katika watu waliobarikiwa busara shigongo na shaluwa wamo,hutosikia malalamiko yao wakilumbana jibu tosha kwamba mpoki ni mjinga
 
Katika watu waliobarikiwa busara shigongo na shaluwa wamo,hutosikia malalamiko yao wakilumbana jibu tosha kwamba mpoki ni mjinga
huwezi kuwa na busara ukadhulumu watu, ukaishi kwa kucjafua watu na kula mtu na mamayake
 
Wamalawi utawajua tu, wakishafanya za ulinzi wakapata pesa ya simu wanaanza na nyodo

Mpoki ni katibu Kata wa karonga

ah ah mkuu umepotosha ni hapa kalonga hatuna katibu kata mwenye jina hilo
 
Hawa bongo movie wanamhitaji sana Shigongo kama ambavyo bongo fleva wanamhitaji Ruge
 
Mpoki hata siku moja hawezi kushindana na shigongo wala shaluwa, asahau kabisa!
 
Shigongo ana bifu na ze comedy muda sana tangu wapo eatv hakuna siku shigongo kawaandika vizuri ze comedy kwenye magazeti yake... akina mpoki wamemchoka sasa wameona bora tu wamuimbe
 
Shigongo ana bifu na ze comedy muda sana tangu wapo eatv hakuna siku shigongo kawaandika vizuri ze comedy kwenye magazeti yake... akina mpoki wamemchoka sasa wameona bora tu wamuimbe

Ashawazoea kina desh desh...wanaishi kwa kuuza habari bas analazimisha hadi comedy nao wenyewe hawataki
 
Ashawazoea kina desh desh...wanaishi kwa kuuza habari bas analazimisha hadi comedy nao wenyewe hawataki

Me hata si mlaumu mpoki maana wameanza muda tu kulumbana na shigongo na kawasakama sana.. na wote wanamapungufu shigongo naye si msafi hivyo wanavyotaka awe.. naye bila hizi bifu asingeuza magazeti yule
 
Ha ha ha ha haaaaaa jamaa lazima alambe tunzo za kili kwa hili song.
 
Back
Top Bottom