♥Ukiona unapendwa sana na mademu ujue una nyota ya ukimwi
♥Ulaya wamegundua iphone 5 na sie tumegundua division 5
♥Msemo wa waache waseme mchana usiku watalala,je ukisemwa na walinzi?
♥Usiombe umtongoze demu wa hosteli ni balaa watakuja kama wanne kwenye first date halafu waliobaki hostel wenzake wote wanataka chpsi kuku chips kuku.
♥Ukimtongoza demu unamkuta na simu ya tochi lakini baada ya mda anataka blackberry mara samsung gallaxy hadi htc
♥zamani wanaume walikuwa wananyanyua vyuma kupata mademu,siku hizi mademu wanataka hela nyanyua chuma uishie kuwa baunsa.