Mpoki ni balaa

Mpoki ni balaa

Yaan alikua anawapa ukweli mtupu ndio maana wengine walinunaaa
 
Nimegundua watu humu mnajifanyaga mnajuaaaaaa habari za celebrities na maisha yao kumbe hamna kitu!


Alicho kifanya mpoki 100% na mpa heshima ndivyo alivyo paswa kufanya!

Nyinyi mnao sema katukana watu kaangalieni tuzo za oscar za mwaka jana, gramy, bet, mtv muone jinsi akina cris turker, the prince, keven heart na wengineo wengi wanavyo host hizo awards wanavyo wapa makav live wasanii wakubwa!
Mfano ruck ross alisha ambiwa on public aache kuliacha tumbo lake wazi maana nibaya lina tusha watoto! Neyo akaambiwa anakichwa kibaya ndio maana haishi kuvaa kofia!

Jamain duprii aliambuwa akue sasa umri umemtupa mkono anafanya vitu kama justien biebier!


Mnao sema alikuwabaguzi ndo mnanichekesha kabisa kwasababu kuu moja! Hivi mnajua kuwa hao wazungu ndio walio fanya pawepo natuzo zinazo mhusu mtu mweusi pekeee? Hamjui hao ndio ma racist wakubwa? Kwanza mi sikuona kama ame wabagua kilichofanyika ni jockes za kawaida tu!
 
E bana Mpoki rocked!! Kawaida kuna watu hawana sense ya utani hata huku mitaani tunao - Ndo wale ngumi mkononi types. Mwanzoni watu walionekana kuduwaa kuskia yale malani ila mda haukupita wakawa wanacheka sana. Au pombe zilipanda?!

Mpoki hakukosea katu. Hata wale wadada wa taarabu alosema ukikutana nao asubuhi utawasalimia... Kwani ni uongo ukikutana na mtu asbh unamsalimia?? The fact kwamba unatafsiri vingi kwa alichosema na kwakua unajua ni utani tu, huezi kasirika. In fact, labda kama kuna ushahidi tofauti ila DJ Bonny Luv hakuchukia. Ile look ni style tu manake unavobanwa kama pale unakosa la haraka kujibu unless nawe mchekeshaji. Naamini ali-fake hasira for the fun of the moment. Inatokea kwa wengi, when caught off-guard!

Nyie mnaomponda mnapaswa kuhuisha hisia zenu za vichekesho vya malani. Again, 'mdomo mchafu wa Mpoki' Rocks - Makavu live!! Naungana na wanaosupport arudi msimu ujao wa KTMA.
 
Mpoki ni kichwa.....mimi sikufurahishwa na shoo za wasanii wala tuzo pale zaidi ya vibomu vya Mpoki na alifanya nitizame onyesho hadi mwisho....Mtu kama hana makuu kama BABA T , Mike Mushi wa JF mbona walitoka salama? wengi walitaniwa kwa issue zinazoguswa na magazeti kila siku....Hata Bonny Love kuitwa bahili hadi anavaa kanzu isiyo na mifuko ili asiombwe hela ni jokes tu...lile jicho la Bonny si la hasira.....
 
Ambao hawapigi makofi wana HIV..........inaendana na maana hiyo???

Yaah inaendana na hiyo maana ya hatari imeingia vitandani siyo ugonjwa, mpoki alikua ana mipaka dats y haku mess up na Ray C wala Lulu coz he knows exactly wat those gals hav been through.
 
Yaah inaendana na hiyo maana ya hatari imeingia vitandani siyo ugonjwa, mpoki alikua ana mipaka dats y haku mess up na Ray C wala Lulu coz he knows exactly wat those gals hav been through.

Aiseee mkuu umeongea point sana watu wanasema alikuwa anaropoka mbona kwa Ray C ajasema ngada au kwa lulu hakusema brain concussion? Mpoki alikuwa anafikiria lipi la kusema ambalo litachekesha watu kama watu walisema martin kamaindi jana amekiri kwamba hajamtolea maneno machafu mpoki bali alimsapoti na Martin amekiri anamkubali sana mpoki,Big Up Tajiri la kihaya mwarabu wa dubai bepari namuomba kavishe ktma ya 2015 uwe wewe MC,Mbona Mike Mushi kaambiwa msomi anatumia elimu kwa manufaa ya jamii?
 
Ninachojua mimi wenzetu wa visiwahi huwa wanaenda wenyewe sokoni kuwapunguzia wake zao na mitihani ya barabarani mpaka sokoni hebu utafiti na farkhina tufafanulie katika hili.

Mwanamke haipendezi kwenda sokoni ndio maana wanaenda wababa.......hiyo sheria mpaka leo naiapply lol kazi yangu kuandika list kwa kiratasi tu
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke haipendezi kwenda sokoni ndio maana wanaenda wababa.......hiyo sheria mpaka leo naiapply lol kazi yangu kuandika list kwa kiratasi tu

Sasa wa bongo wakikuona unaenda sokoni wanakuwa na tafsiri mbaya tu, bahili au amelishwa limbwata! Wakati mke wangu nataka akae ndani apake hina ajifukize udi kila saa niwe natamani Kuwa nae.
 
Kuna tofauti kati ya vichekesho/jokes na vijembe/mipasho...tunamfurahia Mpoki sababu tunapenda mambo ya mipasho!
 
Back
Top Bottom