Mpoki ni balaa

Mpoki ni balaa

Ndo ujue jamaa anachekesha,hao wanaolalamika alikuwa anaumbua watu ndo walikaa hadi mwisho wa show..unadhani bila mpoki pale kuna mtu angebaki pale kwa hali ilivokuwepo?
Hakika wabongo ni wanafiki.

Mi mwenyewe nilifurahia show yake lakini sikuangalia had mwisho..ss naashangaa watu wamechukia show lakini wamekodoa macho kwenye screen hadi mwisho.
 
umeongea ukweli mkuu...kuna moja host alikuwa KEVIN HART...MWANZONI KABISA ALISEMA ''NO ONE IS SAFE TONIGHT''...CELEBS WENGI WALIPIGWA MADONGO SIKU HIYO....THE FACT IS IF YOU KNOW SOMEBODY IS A COMEDIAN TAKE IT EASY AND BE PREPARED FOR IT..THOUGH SOMETIMES HE MAY CROSS THE LINE AND BE OFFENSIVE..HASIRA ZAKO WENGINE WANA ENJOY...

Anything can happen...!!
 
Haya sasa kwa maelezo yoooote wengi wape oooookay lediiiiz endi jentromeeeni ze wina iiizzzz meki samunoiizzzzz tuuuu mpooooookiiiii....
 
Mpoki aliniboa sana,vile sio vichekesho ni matusi,mfasno alitoa kauli kadhaa za kibaguzi kwa wazungu waliooa waafrika au waliokuwa na waafrika kwenye funtion ile,mfano kuolewa na mzungu sio dili,kuna wazungu wa mbagala sijui,heti umeolewa na mzungu miaka mitatu hujaenda ulaya nk.Nilichojifunza ni kuwa pale kuna tatizo la elimu ndogo na upeo,kwake yeye anaona hivyo ni vichekesho,naomba kwenye shughuli nyingine next time muwe makini na ma MC mnaochagua ,yule anafaa kwenye function za watu illiterate or semi illitirate
 
Wana JF hapa mlimani city kwenye Kili Music Award Mpoki ni noma
Anashushua sana watu mpaka wengine wanaona noma mbele ya kadamnasi.
Mzee Yusuph mziki haachi ila anaoa tu, ni maneno yake na anamshangaa Diamond kuingia na Bouncer eti basi hujiamini unamaadui awe anampa mshahara tarehe 12 otherwise atamuua,
Naona kama utani umezidi sana atakuwa amekunywa kuliko kawaida.

LABDA TUJKUMBUSHE KUHUSU MPOKI NA ALICHOFANYA KTMA.
Watu tunalaumu alichofanya KTMA kwamba aliwauzi watu lakini si mara ya kwanza mpoki kuhost KTMA JE MMEJIULIZA KWAMBA JANA WALIPANGA HIYO NDIO STAILI YAO.
Nakumbuka KTMA mwaka juz nadhani alikuwa anachekesha tu kama mchekeshaji yeyote.
KIUFUPI KUHUSU HISTORIA YA MPOKI NA ALICHOFANYA JANA
Mpoki kabla hajagundua kuwa anaweza kuwa comediani alijijua katika mazingira kama ya jana KIVIP.
Alisema kuna siku alirudi nyumban kutoka shule akakuta wamebandika maharage akayasubiria yakawa hayaivi.Akapita mtu mpoki akajulishwa kuwa yeye anaenda kwenye mashndano..
 
Hata mimi aliniboa sana kwa kauli zake kadhaa za kibaguzi dhidi ya Wazungu especially waliokuwa na mademu wa kiswahili,huyu mpoki nadhani tatizo ni elimu duni,vichekesho vyake vingi vilipitiliza na kuwa matusi.Nashauri next time kwenye shughuli serious kama hiyo muwe makini katika kuchagua Ma MC kwani mtu mmoja anaweza kuharibia watu kibao mood zao wakati wamelipa kiingilio ili wa enjoy.Pia alitoa kauli moja mbaya sana ya kunyanyapaa watu wenye ukimwi.Nimegundua kichwani huyu jamaa ni boga tu.Ndio maana siku hizi hata commedy zao zimepoteza popularity.Inabidi aombe msamaha watanzania.
 
kwenye mashndano ya kutaniana mpoki kwa kuwa ana njaa na kule unapata hela ya haraka na nafasi ya kujiunga na kaole akaenda.
AKATANIA WOTE AKASHINDA kwa hyo orignal ya MPOKI NI MATANI YA KUUMA WALA SIO BEPARI LA KIHAYA.YULE NDO REAL MPOK SIO KILA COMEDIAN KWENYE SHOW ATUMIE JOKES AINA MOJA
 
Kimsingi Mpoki alikuwa anawadhalilisha baadhi ya washiriki,co fair kabisaa
 
Binafsi uMC wa Mpoki kwa jana ulikua 50 50 ila kwa yule mdada jina lake silikumbuki pale waandaaji walizengua sana kumuweka.

Anaitwa shadee,.
shadee.jpg
 
Asa si ndio comedy yenyewe mkuu Kigowgooo?
Alichokuwa anafanya mpoki ni public character assasination ambayo akipatikana mjuaji anaweza kumfungulia kesi ya madai ya damage.Pia nakubaliana na wengi kuwa yule dada aliyekuwa MC pamoja na mpoki,hakuchangamka,alikuwa kama kalazimishwa kuwepo,pia hana uzoefu na shughuli ile.Next time tafuta watu kama Maimartha,Ben Kinyainya wanaweza kupendezesha zaidi.
 
Alichokuwa anafanya mpoki ni public character assasination ambayo akipatikana mjuaji anaweza kumfungulia kesi ya madai ya damage.Pia nakubaliana na wengi kuwa yule dada aliyekuwa MC pamoja na mpoki,hakuchangamka,alikuwa kama kalazimishwa kuwepo,pia hana uzoefu na shughuli ile.Next time tafuta watu kama Maimartha,Ben Kinyainya wanaweza kupendezesha zaidi.

hebu tupe mfano nani anaweza kufungua kesi ya madai dhidi ya mpoki, na ni maneno gani msingi wa hio kesi?? mimi sikuangalia hio show.
 
Ukweli unauma hHhahhaaa ukiona nimekutouch bass na wee umo mpoki katishaaa sanaaa
 
Sipati picha angekuja Ruge Mutahaba kutoa tunzo sijui Mpoki angesemaje?!
 
Wamuweke tena mwakani, kawapa makavu live sio wengine wasifiaji wa uongo insta
 
Back
Top Bottom