Nimegundua watu humu mnajifanyaga mnajuaaaaaa habari za celebrities na maisha yao kumbe hamna kitu!
Alicho kifanya mpoki 100% na mpa heshima ndivyo alivyo paswa kufanya!
Nyinyi mnao sema katukana watu kaangalieni tuzo za oscar za mwaka jana, gramy, bet, mtv muone jinsi akina cris turker, the prince, keven heart na wengineo wengi wanavyo host hizo awards wanavyo wapa makav live wasanii wakubwa!
Mfano ruck ross alisha ambiwa on public aache kuliacha tumbo lake wazi maana nibaya lina tusha watoto! Neyo akaambiwa anakichwa kibaya ndio maana haishi kuvaa kofia!
Jamain duprii aliambuwa akue sasa umri umemtupa mkono anafanya vitu kama justien biebier!
Mnao sema alikuwabaguzi ndo mnanichekesha kabisa kwasababu kuu moja! Hivi mnajua kuwa hao wazungu ndio walio fanya pawepo natuzo zinazo mhusu mtu mweusi pekeee? Hamjui hao ndio ma racist wakubwa? Kwanza mi sikuona kama ame wabagua kilichofanyika ni jockes za kawaida tu!