Mpoki ni balaa

Mpoki ni balaa

Nawasikitikia kilimanjaro. Mpoki amebore sana. Imekuwa kama comedy and not a serious activity.
 
Nawasikitikia kilimanjaro. Mpoki amebore sana. Imekuwa kama comedy and not a serious event.
 
Mkivaa high heels mfanye mazoezi nimechekaje..
 
vmoney mbona umepanic ivo jamani? na izo high heels balaaah!!!
 
Ila somehow ni powa tu pia nilikuwa sijui kama Vannesa Mdee ni mpare.
 
mhhh.
hapa hata ambao hatujaenda tumefulia tutaandika as if tupo ukumbini. hahaaaa.
 
Nawasikitikia kilimanjaro. Mpoki amebore sana. Imekuwa kama comedy and not a serious event.

Acha ushamba ndio ma mc wote wachekeshaji ufanya ata ukifatilia tuzo za black entertainment television na mtv etc.

Nina cd nyingi za b.e.t na mtv nitafute nikutumie uone na kamwe huwezi shangaa mpoki alivyofanya
 
Back
Top Bottom