Kwamba sababu wewe leo hautoi kilio kesho hautalia ?Mtalia na kusaga meno si mliendekeza uchawa?
Used toilet paper huyo. Hahitajiki tena kwenye system. Sasa hivi anatafuta uhalali wa kusimama upande wa wananchiNimeshangaa kumuona Tulia Ackson msibani? kafata nini?
huyu ndio alikataa bunge lisijadili utekaji,
Pilipili alitekwa na akauwawa
Rango msibani umefata nini
Hao chawa lazima wajifunze kwa vitendo kwanza. Watubu ndio tujumuike nao kwenye mapambano.Kwamba sababu wewe leo hautoi kilio kesho hautalia ?
Divide and rule itatumaliza; yoyote popote anayepinga maovu kwa wakati husika anaongea lugha moja na majority hivi vita vipo wazi kabisa hakuna grey areas Good or Evil....
Hawa watu kwa kujiweka karibu na ccm wanafikiri wako salama na hawajui hata malalamiko ya kila siku ya WaTz. Wanatekwa, wanapotezwa,vwengine miili yao kuokotwa wakiwa wafu, WaTz wamepigia makelele kila siku, yeye anakuja kushangaa leo. WaTz wakiandamana, wanaonekana wakaidi.Msanii maarufu wa vichekesho, Mpoki, ameilaumu Jeshi la Polisi akishangazwa na kutokamatwa kwa watuhumiwa wa mauaji ya MC Pilipili hadi sasa. Akihoji kwa masikitiko, alisema:
"Wakati nasikiliza ile ripoti nilitegemea kwamba tunapomzika leo, tayari watuhumiwa wangekuwa rumande. Siingilii kazi ya Jeshi la Polisi, lakini anzeni kwa kumchunguza yule aliyepigiwa simu na MC Pilipili kabla ya tukio." Msanii Mpoki
Aidha, akizungumzia upande wa uongozi, Mpoki alisema kuwa kuna kipindi MC Pilipili alikumbana na changamoto lakini baadhi ya viongozi walionekana kukaa mbali badala ya kumsaidia. Aliongeza kuwa:
"Baadhi ya viongozi, wakati wasanii wanawapigia simu, pokeeni simu zao. Msiache kupokea. Tunawasaidia mpaka mnapokaa kwenye hivyo viti.". Msanii Mpoki
Pia Soma: Polisi: MC Pilipili alifariki dunia kwa kipigo. Mwili ulikuwa na majeraha