😀RangoNimeshangaa kumuona Tulia Ackson msibani? kafata nini?
huyu ndio alikataa bunge lisijadili utekaji,
Pilipili alitekwa na akauwawa
Rango msibani umefata nini
😀RangoNimeshangaa kumuona Tulia Ackson msibani? kafata nini?
huyu ndio alikataa bunge lisijadili utekaji,
Pilipili alitekwa na akauwawa
Rango msibani umefata nini
Sisi kilio tulishatoa October 29Kwamba sababu wewe leo hautoi kilio kesho hautalia ?
Divide and rule itatumaliza; yoyote popote anayepinga maovu kwa wakati husika anaongea lugha moja na majority hivi vita vipo wazi kabisa hakuna grey areas Good or Evil....
Anayekula nyama ya mtu haachiChanzo nini mpaka wamemuua?