Mpoki ukiwa kwenye kipindi cha Ubaoni E-FM unaboa

Mpoki yupo fresh sana. Ananogesha kipi kinakiwa mwaaa. Huwanapenda kusikiliza kipindi hiki nikiwa natoka kazini uchovu wote unaisha. Yaani mpoki yupo poa kabisa.
 
Mimi simuelewagi bikira. Amekaa kujisifia sifia tu. Sijui muhaya yule
Na alivyo na sura ngumu

Walimsema picha anaweka mafilter na kuedit aonekane msupu, naona anazopost siku hizi zimepauka
 
Na alivyo na sura ngumu

Walimsema picha anaweka mafilter na kuedit aonekane msupu, naona anazopost siku hizi zimepauka
Hahahaha. Bado Efm hawajapata mtu sahihi wa kipindi cha jioni. Wamkamate baby kabie yuko smart sana. Yule bikira wamtoe kabisa pale.
 
TCRA wanahusika?
 
Si mlikuwa mnaisifia EFM hapa juzijuzi tu. Mara ooh Clouds wamepotezwa. "Mara ooh huu mchezo hauhitaji hasira". Kiko wapi sasa! Naona mmeshaanza kumeza matapishi yenu. Ngoma ya watoto haikeshi jamani.
Acha majunguu huo ndio unafki kwani ukisifia mtu akikosea usiseme? Au wewe umezoea kusifia tuu hata kukiwa namakosa husemi wabongo bwanaa ovyoo
 
Nilipo siipati efm. Ila binafsi sijawah kumkubali
 
Umeongea ki V.I.P sana mkuu though Ema Kapanga anajitahidi lakini angefaa avute soksi zake kuziba gap la Gadna,jamaa show za jioni anazimudu kwa kweli,kule mawingu naye Joji Bantu akaze buti
 
for sure uongozi ujipange maana atawaingiza matatizoni muda sio mrefu....ndio madhara ya kuokota watu barabarani hawajui utangazaji
Tunangoja mchepuko wewe uje unyakuliwe mawinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…