wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,172
- 1,128
Ila kiukweli hili jina halijakaa sawa sema tu tukisema itakuwa nongwa acha tuWe acha tu.
Nahisi Basata wana lao....kwa wengine kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kiukweli hili jina halijakaa sawa sema tu tukisema itakuwa nongwa acha tuWe acha tu.
Nahisi Basata wana lao....kwa wengine kimya
Na alivyo na sura ngumuMimi simuelewagi bikira. Amekaa kujisifia sifia tu. Sijui muhaya yule
Hahahaha. Bado Efm hawajapata mtu sahihi wa kipindi cha jioni. Wamkamate baby kabie yuko smart sana. Yule bikira wamtoe kabisa pale.Na alivyo na sura ngumu
Walimsema picha anaweka mafilter na kuedit aonekane msupu, naona anazopost siku hizi zimepauka
TCRA wanahusika?...amezidi kwa pumba aisee daah..! alafu anataka aongee yeye tu mpaka naona kama kipindi kinavurugika na kinakosa muelekeo, hata huwezi kujua nani ni kiongozi na nani ni co hosts wa kipindi, ebu mpangeni huyo mpoki bado hajielewi anadhani redio ni sawa na comedy show....
exactly.Ile sheria ya wanahahabari kuwa walau na first degree hivi inawahusu pia presenters?
Ile sheria ya wanahahabari kuwa walau na first degree hivi inawahusu pia presenters?
Acha majunguu huo ndio unafki kwani ukisifia mtu akikosea usiseme? Au wewe umezoea kusifia tuu hata kukiwa namakosa husemi wabongo bwanaa ovyooSi mlikuwa mnaisifia EFM hapa juzijuzi tu. Mara ooh Clouds wamepotezwa. "Mara ooh huu mchezo hauhitaji hasira". Kiko wapi sasa! Naona mmeshaanza kumeza matapishi yenu. Ngoma ya watoto haikeshi jamani.
Nilipo siipati efm. Ila binafsi sijawah kumkubaliWanajamii
Radio E-FM imemuajiri bwana Mpoki (mchekeshaji maarfu) kama radio presenter wao wa kipindi kinachoanza saa 10 jioni hadi saa 12 kinaitwa Ubaoni uyu jamaaa namkubali ni comedian mzuri tu anaejua kucheza na maneno ila sasa tunapoelekea anapitiliza.
![]()
![]()
Kwa wale mnaosikiliza kipindi icho naamini mtakubaliana na mimi naomba uongozi wa E-FM mumdhibiti uyu jamaa sio mda wote uwe wa masihara na utani na maneno ya kijinga TCRA muda sio mrefu naamini watashusha rungu apo
Tunangoja mchepuko wewe uje unyakuliwe mawingunifor sure uongozi ujipange maana atawaingiza matatizoni muda sio mrefu....ndio madhara ya kuokota watu barabarani hawajui utangazaji