Mpoki ukiwa kwenye kipindi cha Ubaoni E-FM unaboa

Mpoki ukiwa kwenye kipindi cha Ubaoni E-FM unaboa

Mpoki yupo fresh sana. Ananogesha kipi kinakiwa mwaaa. Huwanapenda kusikiliza kipindi hiki nikiwa natoka kazini uchovu wote unaisha. Yaani mpoki yupo poa kabisa.
 
Mimi simuelewagi bikira. Amekaa kujisifia sifia tu. Sijui muhaya yule
Na alivyo na sura ngumu

Walimsema picha anaweka mafilter na kuedit aonekane msupu, naona anazopost siku hizi zimepauka
 
Na alivyo na sura ngumu

Walimsema picha anaweka mafilter na kuedit aonekane msupu, naona anazopost siku hizi zimepauka
Hahahaha. Bado Efm hawajapata mtu sahihi wa kipindi cha jioni. Wamkamate baby kabie yuko smart sana. Yule bikira wamtoe kabisa pale.
 
...amezidi kwa pumba aisee daah..! alafu anataka aongee yeye tu mpaka naona kama kipindi kinavurugika na kinakosa muelekeo, hata huwezi kujua nani ni kiongozi na nani ni co hosts wa kipindi, ebu mpangeni huyo mpoki bado hajielewi anadhani redio ni sawa na comedy show....
TCRA wanahusika?
 
Si mlikuwa mnaisifia EFM hapa juzijuzi tu. Mara ooh Clouds wamepotezwa. "Mara ooh huu mchezo hauhitaji hasira". Kiko wapi sasa! Naona mmeshaanza kumeza matapishi yenu. Ngoma ya watoto haikeshi jamani.
Acha majunguu huo ndio unafki kwani ukisifia mtu akikosea usiseme? Au wewe umezoea kusifia tuu hata kukiwa namakosa husemi wabongo bwanaa ovyoo
 
Wanajamii

Radio E-FM imemuajiri bwana Mpoki (mchekeshaji maarfu) kama radio presenter wao wa kipindi kinachoanza saa 10 jioni hadi saa 12 kinaitwa Ubaoni uyu jamaaa namkubali ni comedian mzuri tu anaejua kucheza na maneno ila sasa tunapoelekea anapitiliza.

images
images


Kwa wale mnaosikiliza kipindi icho naamini mtakubaliana na mimi naomba uongozi wa E-FM mumdhibiti uyu jamaa sio mda wote uwe wa masihara na utani na maneno ya kijinga TCRA muda sio mrefu naamini watashusha rungu apo
Nilipo siipati efm. Ila binafsi sijawah kumkubali
 
Umeongea ki V.I.P sana mkuu though Ema Kapanga anajitahidi lakini angefaa avute soksi zake kuziba gap la Gadna,jamaa show za jioni anazimudu kwa kweli,kule mawingu naye Joji Bantu akaze buti
 
Back
Top Bottom