Itoshe kichwa Cha habari kutoa utanguli kamili.
Baada ya kuyafuma manukato murua ktk miezi ya wagumu hii ikiwemo bingo la kuchoronga maneno Kwa kipaza sauti kwenye msiba wa don Mmoja wa kipande chetu siku ya pasaka ya mwaka huu, kiukweli nilifunika mbaya mpk nikapigiwa mbwembwe msibani.
Sasa, ni wakati wakuja kujazana hukohuko mliko Ili nami niwe kati ya watu M7, Ili ninenepeshe moyo kama afanyavyo papaa Floyd Mayweather, nahitaji pisi Kali, ninaposema pisi Kali nadhani naeleweka. Kama upo humuhumu ndichi karibu ndani ya chumba tupungiane mikono.
Shughuli iliyopo ni mwendo wa bata batani hadi kivuli kitoe jasho Kwa muda wa wiki mbili. Kwanza breakfast Kali ya maziwa na maboga, bites za njugu mawe, lunch ya uji wa Dona na vitumbua halafu night bonge la dinner ya karanga za kuchemsha, lkn moyo lazima ulowe muda wote na bottles Kali za kangala. Kisha tuzunguke sana Jiji zima Kwa usafiri ghali na mkali wa miguu chini ya kivuli matata Cha mwavuli.
Sipendi kabisa ubahili hakika nataka tuenjoy for 2 weeks. I need your full time. Sharti usiniletee swaga za kuwa nikupe hela eti Kuna birthday ya babu Yako.
Serious, if you are interested in this, just check me inbox.