tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Anahitaji kusalimiwa
Ni kweli professor naona now days GDP inadrope kwa kasi wakati wenzetu zina ongezeka kwa kasi ya 5g.
Kikwete anaekuja kichwa Chawa linalopoka
Ameyasema masaa matatu yaliyopitaHayo kayasema lini kwanza ? Kabla sijamuhukumu vizuri ni vema nikajua hayo....
Sababu sidhani kama ufahamu wa kuweza kusoma nyakati na kama aliyasema zamani nadhani hii itakuwa sio kumtendea Haki kuyarusha leo...