[emoji23][emoji23][emoji23]aseeUnafiki tuu alikua wap muda wote mijitu kama hii si ipendi kinoma daaah wiki mbili zote mzee kawika vyombo vya habar leo analeta unafiki wake hapa
konstebo nguzu imeishia wapi mkuu. twakusubiriJamaa hajui kuwa ni dhambi kumsingizia marehemu uongo?!
JoseverestKuna mtu humu kila post analiwa wa kwanza kucomment, yan cjui ni mtu kwl au ni machine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] JoseverestKuna mtu humu kila post analiwa wa kwanza kucomment, yan cjui ni mtu kwl au ni machine
HahahaaKwani INA mana picha za mwanzo akiwa kazidiwa hakuziona? Wabongo kwa kick siwawezi aiseeee....hakuna rambi rambi hapo. Maana hamchelewi unda kamati ya michango...