Mpwa wangu anahitaji counceling!

Mpwa wangu anahitaji counceling!

Kulikua na mama mmoja alikua anatumiwa na international school of tanganyika.Kama mwanafunzi ana matatizo wanampa mzazi contact za huyo mama.Alimsaidia mdogo wangu wa kike[same age] miaka ya nyuma hebu waulize wanaweze kupa contact zake.Tulielekezwa na mtu,mdogo wangu hakusoma pale.

Kwa kuwa familia yako imeshawahi kumtumia huyo mama, unaweza kunisaidia kunitafutia contact zake?
 
Hebu angalia anatumia simu kiasi gani na internet! Kuna wengine vitu hivi haviwasumbui lakini wengine vinawasumbua sana maana she can meditate on an sms for many hours. Pengine ni ubongo wake tu umekuwa deleted kwa sababu ya psychological problems.

Jobo,
Huyu dada hana hata handset ya kubeep. Wazazi wameamua kumweka mbali na mambo ya simu. For now. Kuhusu internet, hapo kwa kweli sijui. Nnachojua ni kuwa hana computer chumbani kwake.

Nasikitika huyo binti kuna vitu ameshavijua, na inawezekana alikuwa akilindwa sana either na wazazi au walezi na sasa kapata upenyo kakutana na maswahibu yaliyomtia kiwewe na kumfanya akili imruke. Ni kama ngómbe wale wanaoitwa wa kizungu, akipata fursa ya kutoka nje ataruka hadi kuvunja miguu huku machozi yakimtoka.

Suggestion:[/u]Mkalishe chini jaribu kumueleza kwamba hivyo vinayomzuzua vipo na havitakwisha, mweleze umuhimu wa elimu katika maisha yake pia mjulishe na mfahamishe kwamba the ONLY RELIABLE MAN (LOVER) IN THIS WORLD IS EDUCATION

Well, inawezekana kuna ukweli na unachosema. Lakini ni wangapi wanaokutana na maswahibu (like you put it) na bado hawa lose control darasani? Nafikiri amekuwa mzembe tu mwenye. Anahitaji kupelekwa booty camp (joke)
 
Jobo,
Huyu dada hana hata handset ya kubeep. Wazazi wameamua kumweka mbali na mambo ya simu. For now. Kuhusu internet, hapo kwa kweli sijui. Nnachojua ni kuwa hana computer chumbani kwake.

Well, inawezekana kuna ukweli na unachosema. Lakini ni wangapi wanaokutana na maswahibu (like you put it) na bado hawa lose control darasani? Nafikiri amekuwa mzembe tu mwenye. Anahitaji kupelekwa booty camp (joke)

Nahisi hizo restriction alizowekewa ni tight mno. Are her female friends allowed to visit her home? What about boys (counsins and other close relatives etc)?

Usisahau kuwafanyia counseling wazazi wa binti.

.
 
Anatembea na mwalimu wake wa kiume.Muamishe shule au mwambie akutajie ni mwl gani anatembea nae ili uanzie hapo kutatua tatizo hilo.Kuwa shulu ya masista siyo tija sana kwani mambo hayo hufanyika gizani tena KWA SIRI KUU
 
Post nyingine zinashangaza na kuchekesha kweli kweli....

Ni nini hasa kilichofanya uhitimishe kuwa anatembea na mwalimu wake wa kiume?
 
Post nyingine zinashangaza na kuchekesha kweli kweli....

Ni nini hasa kilichofanya uhitimishe kuwa anatembea na mwalimu wake wa kiume?

Anguko la huyo mtoto from A's to D's na F's wakati hakurushwa kidato siyo rahisi ikawa ni ugumu wa kuingia kidato cha tatu tuu,coz kutoka kidato cha pili hawa-ku-switch ghafla tu na kuanza kufundisha maguuumu.Sasa huyo mzazi/mlezi anasema mtoto ni geti kali na hatoki nyumbani pia shule ni ya masista wakati hapo shuleni kuna walimu wa kiume.Sasa tusemeje kaka.
 
Mtoto mwenyewe anashaurika? Isije ikawa yeye mwenyewe halioni tatizo! Ninaye kijana wangu amemaliza vibaya kidato cha sita mwaka huu ambaye alikataa ushauri wa kila aina aloopewa nasi wazazi, walimu, ndugu, jamaa na hata marafiki zake mwenyewe.
 
Kwa kweli hawa vijana wetu wanahitaji councelling ya hali ya juu. Councelling ya kikweli Si rahisi ndio sababu wenzetu wanasomea shuleni na wanafanya ndio biashara.

Mimi naamini hakuna councelling bora kama ya ndugu yako akupendaye, ambaye atakusikiliza uliyoyapitia, atashare na wewe frustration zako, atalia na wewe mambo siyo na soulutions na atakuwa na wewe katika kusolve yale yanayowezekana.
Hebu jaribu kusikiliza binti amepatikana na nini,
yaweza kuwa chochote,
Inawezekana kuwa hata msiba wa jirani umemchanganya ana maswali yasiyo na majibu, haoni mbele tena katika maisha yake (ilinipata mimi).

Mara nyingi teenagers wanakuwa na mswali mengi sana yanayowachangaya, na watu wenye kujua majibu hawawapi (wazazi wako bize) marafiki walio willing kuwapa majibu wana majibu yakuchanganya zaidi.
Kama ni muumini tumia vigezo vya malezi yake katika imani, kama ni hawa wa siku hizi ambao imani ni status, tafuta mahali mnapoegemea ninyi kama familia ndio uanzie hapo.
Mifano ya ndugu zenu itasaidia.
Pia hakukisha unamsikiliza na kuhakikisha umemuelewa kwanza (usianze na hotuba)
Muulize pia yeye anadhani solution ya kuanza ufaulu nini na ajipe targets mwenyewe, pia namna ya kuzifikia aseme mwenyewe, wewe umuhakukishie tu utafacilitate.
 
Anguko la huyo mtoto from A's to D's na F's wakati hakurushwa kidato siyo rahisi ikawa ni ugumu wa kuingia kidato cha tatu tuu,coz kutoka kidato cha pili hawa-ku-switch ghafla tu na kuanza kufundisha maguuumu.Sasa huyo mzazi/mlezi anasema mtoto ni geti kali na hatoki nyumbani pia shule ni ya masista wakati hapo shuleni kuna walimu wa kiume.Sasa tusemeje kaka.

Majita,
Ni wapi nimesema shule hiyo ina walimu wa kiume? Au unajua ni shule ipi naizungumzia?

Kushuka kutoka A's mpaka D's mbona ni rahisi sana kwa teens. Matokeo ya mpwa wangu yanaweza kuwa yameporomoka kwa ghafla kutokana na moja au mchanganyiko wa sababu zifuatavyo:
1)Daraja la masomo ya level ya Form III limekuwa ngumu kwake kuvuka
2)Amekumbana na mashwahibu mengine (nje ya elimu) ambayo yameiba focus yake ya darasani.
3)Amebadilika na kuwa mvivu, mzembe, na hajali tena elimu.

Na kutokana na 1,2,3 hapo juu, ndio maana najaribu kunyambua tatizo na kulitafutia ufumbuzi.
 
Mtoto mwenyewe anashaurika?

Nnachojua ni mtiifu na hana kiburi (mbele ya macho). Ninasema mbele ya macho, kwa sababu sijui akigeuka anang'ong'a au la. Natumai anashaurika (kwa sababu sitaki kufikiria tofauti).
 
Majita,
Ni wapi nimesema shule hiyo ina walimu wa kiume? Au unajua ni shule ipi naizungumzia?

Kushuka kutoka A's mpaka D's mbona ni rahisi sana kwa teens. Matokeo ya mpwa wangu yanaweza kuwa yameporomoka kwa ghafla kutokana na moja au mchanganyiko wa sababu zifuatavyo:
1)Daraja la masomo ya level ya Form III limekuwa ngumu kwake kuvuka
2)Amekumbana na mashwahibu mengine (nje ya elimu) ambayo yameiba focus yake ya darasani.
3)Amebadilika na kuwa mvivu, mzembe, na hajali tena elimu.

Na kutokana na 1,2,3 hapo juu, ndio maana najaribu kunyambua tatizo na kulitafutia ufumbuzi.

Ok.Nafurahi kusikia hoja zako na kujaribu kuyeyusha kahoja kangu ka huyu binti yetu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwl wake.Lakini kutokana na saikolojia ya ualimu na njia za kufundishia ukihusisha na mitazamo ya wanazuoni wa makuzi ya binadamu kina Jean Piagen and the like,napenda kujibu hoja zako hizo tatu hapo juu kuwa:-
1)Ki-ualimu huwa hatuamini kuwa kuna darasa ambalo ni gumu kwa mwanafunzi na lingine liwe jepesi kwake.Alipokuwa form one alipewa contents zilipopitiwa na watu wa mitaala (TIE) na kuona zinafaa,sawasawa na alivyokuwa form III anavyopewa content zilezile zilizopitiwa na kuchambuliwa tena ikizingatiwa kuwa anafundishwa kutoka known to unknowm na general to specific.
2)Amekumbana na maswaibu mengine nje ya elimu.Sasa kwa kuyataja ndo maana mimi naanza na hilo kubwa na jepesi kuliko yote kujua.
3)Kwa nini amebadilika na kuwa mvivu,mzembe na hapendi shule???hapo ndo shida imelalia.Ikumbukwe kuwa mtoto wa darasa la form II na III kimakuzi umri wao ni mmoja kulingana na mwana saikolojia Jean Piajet.Ila Umri wao huwa una shida ya kuwa na tamaa ya mambo ya ngono saaaana.Ndo manana wengine wanauita foolish age au wengine wanasema adolescent.

Kama shule ni nzuri kama unavyodai ya masista,ina maana walimu wanatumia njia nzuri za kufundishia. (Student centred).Hapo sitohoji mazingira ya nje tena ya shule.Inamaana shule iko swafi.Shida yangu inakuja kwenye hiyo "hidden curriculum" plus hiyo strong and active sexual desire kwa age ya huyu mtoto wetu.NDO MAANA MIMI NAMPA MWL WAKE ASILIMIA NYINGI za kumtimizia hiyo shida yake kabla sijamtaja daktari wake na watoto wa walimu wanaoishi shuleni hapo.
Na tujue kuwa mtoto akishaonja kitu hiyo kiwango cha kuporomoka ni sawasawa na hicho kwani zingekuwa shida zingine say,kufiwa ,kuugua,chakula kibaya au mawazo ya kumiss wazazi wake wewe mzazi ungejua tatizo liko wapo.
Regards.
majita
 
Back
Top Bottom