Quemu
JF-Expert Member
- Jun 27, 2007
- 984
- 133
- Thread starter
- #21
Kulikua na mama mmoja alikua anatumiwa na international school of tanganyika.Kama mwanafunzi ana matatizo wanampa mzazi contact za huyo mama.Alimsaidia mdogo wangu wa kike[same age] miaka ya nyuma hebu waulize wanaweze kupa contact zake.Tulielekezwa na mtu,mdogo wangu hakusoma pale.
Kwa kuwa familia yako imeshawahi kumtumia huyo mama, unaweza kunisaidia kunitafutia contact zake?