Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Mpwa alienda kulala kinyemela ukweni na lazizi wake bahati mbaya mpwa akoloma sana usiku wkt kalala si akajisahau akaanza kukoloma dah mkwe ikabidi atoke na siraha za jadi na kupiga yowe huku akidhania kavamiwa na duma yowe lile likamkurupusha mpwa wangu usiku na kutoka mkuku huku akiwa mtupu baba mkwe akamuunganishia na kumpiga kirungu cha mguuni na kuteguka na wananchi nao wakawa wamejitokeza kumdhibiti kumcheck vizuri wanamfahamu kumhoji akawaambia ukweli dah baba mkwe akapandwa na hasira ndo hivyo tena kaharibu tufanyaje? Arudishe heshima ukweni.