Mpwa wangu kaharibu ukweni.

Mpwa wangu kaharibu ukweni.

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470
Mpwa alienda kulala kinyemela ukweni na lazizi wake bahati mbaya mpwa akoloma sana usiku wkt kalala si akajisahau akaanza kukoloma dah mkwe ikabidi atoke na siraha za jadi na kupiga yowe huku akidhania kavamiwa na duma yowe lile likamkurupusha mpwa wangu usiku na kutoka mkuku huku akiwa mtupu baba mkwe akamuunganishia na kumpiga kirungu cha mguuni na kuteguka na wananchi nao wakawa wamejitokeza kumdhibiti kumcheck vizuri wanamfahamu kumhoji akawaambia ukweli dah baba mkwe akapandwa na hasira ndo hivyo tena kaharibu tufanyaje? Arudishe heshima ukweni.
 
Hii kama ilifaa kule kwenye jokes/Gossips
 
My broda Fidel,
Tuwekee vizuri hapa ili upate ushauri,
Nahisi km ni ww vile maana kaka yangu ww huishi vituko lol!
Mpe pole Mpwa,mwambie apeleke mahari na mpunga wa kueleweka,
Hapo baba mkwe lzm atatulia na heshima itarudi u.
 
Fidel80...
Hujambo?

Acha vituko basi, umekua
 
Yaani atafute mchumba mpya tu na ajifunze!
1 anaenda ukweni analala hadi anakoroma! Kilichompeleka si alishakipata?
2 analala kwa wizi ukweni uchi!
Fid, ushauri wangu ni utafute uzi wa kukoroma jf doctors umsaidie huyo mpwao manake hata akiwa mkubwa atashindwa kuwa na nyumba ndogo buree!
The Boss, tafadhali edit ur copyrighted article, uongezee hawa watoto kuwa sneaking into someone's house nayo ifuate rules za nyumba ndogo.
 
Back
Top Bottom