Shida ya Mpwapwa ni BARAZA LA MADIWANI,LUBELEJE ni moja wa mjumbe wa baraza la madiwani, wenye halmashauri sio wabunge tu ni pamoja na madiwani, madiwa ndio mabosi wa mkurugenzi ndio chombo kinachofanya mahamuzi ya hatma ya maendeleo ya jimbo husika,
sijawai kuona madiwai viraza kama madiwani wa mpwapwa, hakika ndo wanao nifanya niichukie CCM , Mwenyekiti wa halmashauri ni darasa la pili na makamu wake darasa la nne, wagogo mnakwama wapi?
kwani peter mkanwa bado mwenyekiti wa halmashauri hadi leo?Shida ya Mpwapwa ni BARAZA LA MADIWANI,LUBELEJE ni moja wa mjumbe wa baraza la madiwani, wenye halmashauri sio wabunge tu ni pamoja na madiwani, madiwa ndio mabosi wa mkurugenzi ndio chombo kinachofanya mahamuzi ya hatma ya maendeleo ya jimbo husika,
sijawai kuona madiwai viraza kama madiwani wa mpwapwa, hakika ndo wanao nifanya niichukie CCM , Mwenyekiti wa halmashauri ni darasa la pili na makamu wake darasa la nne, wagogo mnakwama wapi?
Ndio mkuu ni aibu sana,kwani peter mkanwa bado mwenyekiti wa halmashauri hadi leo?
Wilaya inashangaza mnoo.! Ukifika pale mjini unaweza kudhani upo vijijini.Ni wilaya ambayo haikui kabisaBado yupo yaani ukifika mpwapwa utafikiri siyo tanzania huru
In God we Trust