evonik
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 3,996
- 5,156
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee kweka, yule mchaga black ana kapikipiki kake batafuziHahaha ulikuwa unacheki game Hapeki ama vp.kuna mzee mmoja anachoma kuku pale
Vumbi kama pale saba saba stand dodomaNimeipenda hii case study ya Mpwapwa, lkn kiuhalisia wilaya zote za Mkoa wa Dodoma ni shida ukiachilia Dodoma Mjini!
Ile STAND yao pale cha maana nnachokiona ni ule mti mkubwa linakopark NYEMBELA la Mchana kwenda TAMBI!
Barabara za hovyo, vumbi tupu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaja kongwa unanikumbusha mzee wa kifimbo cheza NdugayeNa Kongwa je? Kale ka-stand kake?[emoji23]
Ila naona ile barabara inawekwa Lami, nlipita november mwaka jana nikitokea mpwapwa,
Sijui ishafika Kongwa?
Ikifika Kongwa basi huenda ikafika na Mpwapwa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa umenikumbusha Nkamia kuna siku bungeni aliwahi kujiita mtangazaji wa BBC mstaafuUkiachana na Dodoma mjini ni kama wabunge wote wa Dodoma waliobakia ni kama wapo wapo tu maana mf Kibajaji,yule aliyekuwa mtangazaji wa radio , Ndugai nk...nini wamewafanyia wapiga kura wao na watanzania kwa ujumla zaidi ya kuwa sehemu ya waliowaletea watanzania matatizo tuliyo nayo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizo ni hadithi za watoto wa kindergarten tu, jaribu utembelee wilaya ya dodoma yoyote ukiiondoa ile inayo ongozwa na mwana cdm pale mjiniMbona tuliambiwa Majimbo ya Wabunge wa CCM kama Dubai? Wabunge wa ccm wanajali sana shida za Wananchi itakuwa huko Mpwapwa barabara ziwe kama Majimbo ya Wapinzani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Good feedback. Mbunge wa Mp anaweza kuzitumia kelele hizi kama ngao na nguvu zaidi za kumsaidia kuongeza mikakati ya kuwasaidia wananchi na sio kuishia kama wapiga kelele wanavyodai kuwa Kazi yake ni kupiga meza.Hoja hii ni nzito,Siamini kuwa kazi ya Mbunge ni kupiga meza,Kama kweli ni bora asipige meza bali Apige kelele kama za Wananchi na kuwasaidia kufikisha Bungeni,vilio vyao,; vya wananchi,Maji yao,Barabara zao,Afya zao,Kilimo chao na Huduma wezeshi kwa ustawi wa mwananchi,Mwananchi wetu wa Mpwapwa.[emoji848]Viongozi wajitafakari hasa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi mkuu 2020.