Uchaguzi 2020 Mpwapwa tumekuchoka Mbunge wetu Lubeleje

Uchaguzi 2020 Mpwapwa tumekuchoka Mbunge wetu Lubeleje

Jina kubwa mno ukiskia "Mpwapwa" unaweza shawishika kufika hiyo sehem,,

Huwa naskia ni ngome ya watu fulani,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli Mkuu.... jina kubwa sana tofauti na Uhalisia wake.... Yaani asubuhi saa 3 tu .... yakishaondoka Ngasere, Al Saedy na Nyembela... hupati tena usafiri wa kukufikisha japo Morogoro.... achilia mbali Dsm.... labda ufanye kuunga unga ..... mpk Panda 2 au Kibaigwa
 
Sisi wapiga kura wako tumechoshwa na kuwa na Mbunge bubu bungeni. Tulikuchagua ukawasilishe mahitaji yetu bungeni na siyo kwenda kugonga meza.

Mpwapwa miundo mbinu ya barabara ni mibovu na shida ya maji ipo palepale na wewe unaendelea kugonga meza tu.

Jiandae kabisa maana uchaguzi wa mwaka huu hapati kura zetu maana tumekuchoka.

In God we Trust
Halafu kuna huyu mbunge wa Ulanga somebody Godfrey sijui walitumia kigezo kipi kumpa ubunge. Muda wote anatema boko tuuuuuu.
 
Ni kweli Mkuu.... jina kubwa sana tofauti na Uhalisia wake.... Yaani asubuhi saa 3 tu .... yakishaondoka Ngasere, Al Saedy na Nyembela... hupati tena usafiri wa kukufikisha japo Morogoro.... achilia mbali Dsm.... labda ufanye kuunga unga ..... mpk Panda 2 au Kibaigwa
Umeisahau ile Kilimanjaro express ya Chuga,

Zikitoka zimetoka,

Nyembela ana njia yake [emoji23]

Napenda ile miembe iliyokandokando ya mto, hakika kivuli cha uwakika[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nipe ramani.... ipo pande gani hiyo nyumba?
Iko karibu na 4ways pale,, sasa fanya kama unaelekea msikitini wa sunni alafu ukate kushoto kuufata ule mzambarau amabo chini yaje kuna mafundi nguo, hapo hapo naskia aliwai kuishi hapo,,
.
Hii story nlipewa babu mmoja baada ya kumdadisi history ya mpwapwa.

Pia mzee akakazia wanawake wa mpwapwa wanababaika sana na wageni[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimekukubali. Uko vzr

Back
Top Bottom