1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Nimewai ishi hapo, mitaa ya 4way[emoji23]Mzee baba umeishi Mpwapwa?
Weekend nilikuwa nachek EPL hapo karibu na gereji ya Ngasere
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewai ishi hapo, mitaa ya 4way[emoji23]Mzee baba umeishi Mpwapwa?
Mpwapwa imechoka sana, labda kule Kikombo kutakuwa na afadhariNdio mkuu ni aibu sana,
Nimewai ishi hapo, mitaa ya 4way[emoji23]
Weekend nilikuwa nachek EPL hapo karibu na gereji ya Ngasere
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ulikuwa unacheki game Hapeki ama vp.kuna mzee mmoja anachoma kuku paleNimewai ishi hapo, mitaa ya 4way[emoji23]
Weekend nilikuwa nachek EPL hapo karibu na gereji ya Ngasere
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama lubeleje bado ni mbunge wa mowapwa basi wana mpwapwa wapimwe CoronaSisi wapiga kura wako tumechoshwa na kuwa na Mbunge bubu bungeni. Tulikuchagua ukawasilishe mahitaji yetu bungeni na siyo kwenda kugonga meza.
Mpwapwa miundo mbinu ya barabara ni mibovu na shida ya maji ipo palepale na wewe unaendelea kugonga meza tu.
Jiandae kabisa maana uchaguzi wa mwaka huu hapati kura zetu maana tumekuchoka.
In God we Trust
Na Kongwa je? Kale ka-stand kake?[emoji23]Wilaya inashangaza mnoo.! Ukifika pale mjini unaweza kudhani upo vijijini.Ni wilaya ambayo haikui kabisa
Eeeh mkuu palepale, ule mto umekula sana ukingo wa mto,, wasipochukua hatu itakuwa hatari,, maana mvua za mpwapwa za ghafla,,Si pale karibu na mto?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda unasomea ualimu hapo Mpwapwa TTC?Sisi wapiga kura wako tumechoshwa na kuwa na Mbunge bubu bungeni. Tulikuchagua ukawasilishe mahitaji yetu bungeni na siyo kwenda kugonga meza.
Mpwapwa miundo mbinu ya barabara ni mibovu na shida ya maji ipo palepale na wewe unaendelea kugonga meza tu.
Jiandae kabisa maana uchaguzi wa mwaka huu hapati kura zetu maana tumekuchoka.
In God we Trust
Ukiachana na Dodoma mjini ni kama wabunge wote wa Dodoma waliobakia ni kama wapo wapo tu maana mf Kibajaji,yule aliyekuwa mtangazaji wa radio , Ndugai nk...nini wamewafanyia wapiga kura wao na watanzania kwa ujumla zaidi ya kuwa sehemu ya waliowaletea watanzania matatizo tuliyo nayo??Sisi wapiga kura wako tumechoshwa na kuwa na Mbunge bubu bungeni. Tulikuchagua ukawasilishe mahitaji yetu bungeni na siyo kwenda kugonga meza.
Mpwapwa miundo mbinu ya barabara ni mibovu na shida ya maji ipo palepale na wewe unaendelea kugonga meza tu.
Jiandae kabisa maana uchaguzi wa mwaka huu hapati kura zetu maana tumekuchoka.
In God we Trust
Mbona tuliambiwa Majimbo ya Wabunge wa CCM kama Dubai? Wabunge wa ccm wanajali sana shida za Wananchi itakuwa huko Mpwapwa barabara ziwe kama Majimbo ya Wapinzani?Sisi wapiga kura wako tumechoshwa na kuwa na Mbunge bubu bungeni. Tulikuchagua ukawasilishe mahitaji yetu bungeni na siyo kwenda kugonga meza.