johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wakati wanaomba kuna askari bint wakike alikuwa anacheka.
Yohana hawa askari ni wazalendo. Na kwa mantiki hii huwa hawabambikii watu kesi.Askari polisi wa kituo cha Mbalizi mkoani Mbeya leo wamefanya Ibada kituoni hapo kutimiza maelekezo ya Rais Magufuli ya kufanya maombi dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.
Ibada hiyo iliongozwa na mkuu wa kituo afande Lusekelo na kuhudhuriwa na mkuu wa wilaya.
Source ITV habari.
My take; Tukio hili la ibada na namna makamanda walivyokuwa wakikemea katika jina la Yesu limenibariki sana!
Wewe kila kitu ni mzaha mzaha tu! Kwanini Corona isikumalize kabisa??!!Nadhani watapandishwa vyeo hivi karibuni.
Duh!...anawacheka wenzake?Wakati wanaomba kuna askari bint wakike alikuwa anacheka.
🤣🤣🤣🤣 mie mwenyewe ningecheka kwanguvuWakati wanaomba kuna askari bint wakike alikuwa anacheka.
Nasikitika kusema kwamba huu ndo mwanzo tu.
Unawazaga ujinga tuNaamini walikua na konyagi kichwani
Kufa basiUnawazaga ujinga tu
Maanayakr ameshindwa kuigizaDuh!...anawacheka wenzake?
Wakati wanaomba kuna askari bint wakike alikuwa anacheka.