Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Kwani hawana Bunduki na Marungu? Si wangeyatumia tu kuisambaratisha Corona coz kwao Bunduki na Marungu ndiyo kila kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu alisema......." Mkutanikapo watu wawili au zaidi kwa jina langu mimi nipo katikati yenu"Ushauri: Tuepuke ibada za kinafiki. Mungu hadhihakiwi. Tunaweza kuwa tunaomba hukumu tusipokuwa makini katika maombi yetu. Tuache ibada za maigizo. Tuombe kwa ibada iliyo kuu mioyoni mwetu.
Tusiombe kwa nia ya kutengeneza habari, na kujionesha kwa aliyeagiza.
Nimemwangalia Mara mbili nkabaki sema maombi yamepata waombaji🤣🤣🤣Wakati wanaomba kuna askari bint wakike alikuwa anacheka.
Mkuu Wangari Maathai , To be honest! Toka nisome ule waraka wa Baba Askofu Niyemugizi, nimekaa nikafikiria sana.Wakokole ukiumwa kichwa wanaanza kukemea mapepo utasukumwa bichwa had utie adabu...ndo km hao
Hata Mbatia aliendesha maombi na sadaka zikatolewa pale jangwani wakati Chadema mnafunga kampeni mwaka 2015, wimbo wa sadaka ulikuwa " Bwana U sehemu yangu" kutoka Tenzi za Rohoni.Ataacha kucheka wakati anajua kabisa ni futuhi kama la kina Masanja? Maana polisi sio nyumba ya ibada, na serikali haina dini, ilikuwaje mpaka camera zikaletwa kwenye huo uhuni?
Mkuu Wangari Maathai , To be honest! Toka nisome ule waraka wa Baba Askofu Niyemugizi, nimekaa nikafikiria sana.
This is a defining moment, not only for our beloved country, but the whole world!
Kwa uhakika kabisa, viongozi walioenda kwenye kikombe cha babu, wasingeweza kukabiliana na crisis Kama hii!
Ni kweli kabisa kuwa watawala wetu wanaya reflect sisi wananchi wenyewe na kuna mtu huwa alikuwa anasema tusijilaumu na kutaka tupate viongozi walio tofauti na sisi.
Sasa dini na imani ndivyo vimeachwa vilivushe Taifa ambalo kwa kiasi kikubwa liko nyuma kwasababu ya mambo kama hayo! I am sad beyond words to explain!
Kwa kumalizia, niseme tu huko mbeleni, tutatambuwa tabia halisi za wanadamu nyakati za dhiki. Huwa wanasema ukweli wa mtu alivyo, huwa unaonekana wakati wa shida! Na pia ni nasema kuwa viongozi wa ukweli, watajulikana kipindi hiki cha mahangaiko na shida na taabu za wananchi!
Ni wakati wa kufahamu huo ukweli, maana kuongoza siyo kukusanya kodi zetu pekee na kuzitumia unavyotaka!
Kuna mambo mengi tu ambayo Mungu atakuwa ameyaingilia kwa niaba ya watu walio wake.
Kama kuna wanaomuhubiri Mungu anayependa uonevu na ukatili, wajiandae. Hii ni kazi ya Mungu mwenyewe. Maana wenye macho hawakuona na wala wenye masikio hawakusikia!
Huyo anajitambuaWakati wanaomba kuna askari bint wakike alikuwa anacheka.
Hata Mbatia aliendesha maombi na sadaka zikatolewa pale jangwani wakati Chadema mnafunga kampeni mwaka 2015, wimbo wa sadaka ulikuwa " Bwana U sehemu yangu" kutoka Tenzi za Rohoni.
Mungu haabudiwi Kanisani pekee bwashee!
Polisi wanavyopenda dhulma na kuonea watu sijui kama hiyo sala itasikiwaAskari polisi wa kituo cha Mbalizi mkoani Mbeya leo wamefanya Ibada kituoni hapo kutimiza maelekezo ya Rais Magufuli ya kufanya maombi dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.
Ibada hiyo iliongozwa na mkuu wa kituo afande Lusekelo na kuhudhuriwa na mkuu wa wilaya.
Source ITV habari.
My take; Tukio hili la ibada na namna makamanda walivyokuwa wakikemea katika jina la Yesu limenibariki sana!
MATAGA Punguza volume unatutemea mate huku mtaaniWewe kila kitu ni mzaha mzaha tu! Kwanini Corona isikumalize kabisa??!!
Inanweza ikakumaliza wewe yeye akabakiWewe kila kitu ni mzaha mzaha tu! Kwanini Corona isikumalize kabisa??!!
Hadi kufikia kesho asubuhi kavideo ka hio ibada hakajapandishwa hapa basi utakuwa umbeya tu
Wewe kila kitu ni mzaha mzaha tu! Kwanini Corona isikumalize kabisa??!!