Mpya: Askari polisi wa kituo cha Mbalizi Mbeya wafanya Ibada kituoni kuomba Mungu atuepushie janga la Corona

Umeongea kwa hisia sana mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawashangaa sana wale wanaosema eti tunaotaka lockdown tuna mikate! Mara wanasema tu nafanya kazi serikalini. Nimeshuhidia wengi waliodharau hili sasa hivi wanajutia! Halafu tatizo juu ya tatizo ni kwamba tatizo liko wakati chaguzi nyingi kuu duniani ziko due ikiwemo Tanzania yetu na marekani.

Walianza na siasa na hapo ndo shida.
 
Wafanye maombi ya kuomba msamaha kubambikia watu kesi, kuonea wapinzani, kunyima watu dhamana makusudi, kupiga watu nk, ndipo wanaweza kuwa na uwezekano labda kidogo wa kusikilizwa. La sivyo wajiandae tu kuzikana
 
Imebidi nicheke tu mkuu! Yani hata wewe unaniita bavicha? Ni uzee au kitu gani mkuu?πŸ˜€
Ndiyo tabia zenu. Kufurahia matatizo mkidhani chadomo ndiyo itaingia ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…