Mpya kutoka kwa Elon Musk

Mpya kutoka kwa Elon Musk

hahaaa manina kwa kichwa kipi chenye kuwaza mambo mazito kama hayo ..tuendelee kuwa mashabiki tu ..maaana hakuna tunachokiweza zaidi ykula pilau na wali kwenye kampeni zetu
Hahaha nimecheka sana aisee, kwa ubahili wake huyu hataki hata watumishi wa serikali wasafiri kwenda nje sembuse anga za mbali!
 
Hahaha nimecheka sana aisee, kwa ubahili wake huyu hataki hata watumishi wa serikali wasafiri kwenda nje sembuse anga za mbali!
afadhali nawew umeliona hilo ..nilichoka alipotoa tamko kuwa majaji wachunguzwe hela zakwenda ughaibuni wanazitoa wapi ..yaani MZee bado anamawazo hasi kuwa kila anayekwenda nje anakwenda kula bata ..wengine wanakwenda kufnya studying tour aiseee
 
hahaaa manina kwa kichwa kipi chenye kuwaza mambo mazito kama hayo ..tuendelee kuwa mashabiki tu ..maaana hakuna tunachokiweza zaidi ykula pilau na wali kwenye kampeni zetu
Hahhaaahhh... Ushasahau kama mkulu ashindwi kitu? Tutaweza tu kwa uwezo wake
 
Back
Top Bottom