BIGURUBE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 6,748
- 4,252
Hahaha nimecheka sana aisee, kwa ubahili wake huyu hataki hata watumishi wa serikali wasafiri kwenda nje sembuse anga za mbali!hahaaa manina kwa kichwa kipi chenye kuwaza mambo mazito kama hayo ..tuendelee kuwa mashabiki tu ..maaana hakuna tunachokiweza zaidi ykula pilau na wali kwenye kampeni zetu