hahaaa manina kwa kichwa kipi chenye kuwaza mambo mazito kama hayo ..tuendelee kuwa mashabiki tu ..maaana hakuna tunachokiweza zaidi ykula pilau na wali kwenye kampeni zetu
afadhali nawew umeliona hilo ..nilichoka alipotoa tamko kuwa majaji wachunguzwe hela zakwenda ughaibuni wanazitoa wapi ..yaani MZee bado anamawazo hasi kuwa kila anayekwenda nje anakwenda kula bata ..wengine wanakwenda kufnya studying tour aiseee
hahaaa manina kwa kichwa kipi chenye kuwaza mambo mazito kama hayo ..tuendelee kuwa mashabiki tu ..maaana hakuna tunachokiweza zaidi ykula pilau na wali kwenye kampeni zetu