Mr. Blue afunga ndoa

Miaka inaenda haswa
 

Ma baibui yanafichaga mengi kumbe!. Lol!
 
Ha ha ha ha
damu yangu chafu sana aisee, naishia kupata kina Maimuna wa Tandale tu, wale ambao ma-role modal wao ni kina Wema Sepetu na Aunt Ezekiel, ipo siku ntaenda kigamboni kuogelea asubuhi mpaka jioni kusafisha nyota, we subiri tu
teh teh teh ,
Usisahau na dose ya maji ya kunywa
 
Hamchelewi kusema hizo ni picha za video za wimbo wake mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…