Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
- Thread starter
- #21
teh teh teh= talaka
we bibi, na huku kwenye majukwaa ya vijana huwa unakuja??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
teh teh teh= talaka
duh hayaUshindweee...
Huyu anayehifadhi maji kama bwawa la kihansi..vyura wanampendaUnamaanisha King of all Bloggers?
hapana, ni RayUnamaanisha King of all Bloggers?
Blue ana damu ya kishoshombeYap.
Blue ana nyota ya kupendwa na watoto wazuri wazuri kama hawa.
Naona damu yake ni nzuri
Miaka inaenda haswaStaa wa muziki wa Bongo Fleva Kheri Sameer ambaye wengi tumemzoea kwa jina la Mr Blue, leo April 14 2016 hatimaye ameamua kufunga ndoa na mama wa watoto wake Waheeda.
Mr Blue amefunga ndoa na Waheeda ambaye amezaa nae watoto wawili wa kwanza akiwa wa kiume na wa pili akiwa wa kike, Mr Blue amefunga ndoa kimya kimya bila watu wengi kufahamu na inatajwa kuwa asilimia kubwa ya waliohudhuria ni ndugu wa familia na baadhi ya marafiki.
![]()
![]()
Source: PICHA 8: Mr Blue kafunga ndoa na mama watoto wake | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
Man water, Ray mzee wa majiUnamaanisha King of all Bloggers?
Hongera zake Mr.Blue, maana Ameoa mke wake, I thought amevuta kitu kipya.Hongera zake, bye bye baridi....
Staa wa muziki wa Bongo Fleva Kheri Sameer ambaye wengi tumemzoea kwa jina la Mr Blue, leo April 14 2016 hatimaye ameamua kufunga ndoa na mama wa watoto wake Waheeda.
Mr Blue amefunga ndoa na Waheeda ambaye amezaa nae watoto wawili wa kwanza akiwa wa kiume na wa pili akiwa wa kike, Mr Blue amefunga ndoa kimya kimya bila watu wengi kufahamu na inatajwa kuwa asilimia kubwa ya waliohudhuria ni ndugu wa familia na baadhi ya marafiki.
![]()
![]()
Source: PICHA 8: Mr Blue kafunga ndoa na mama watoto wake | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
Sidhani, Blue namuona anajitambua sana, Mungu asimamie nyumba yake bado ni kijana mdogo amefanya Jambo jema.kesho utaskia talaka instagram.
Yako lini bibie?Sidhani, Blue namuona anajitambua sana, Mungu asimamie nyumba yake bado ni kijana mdogo amefanya Jambo jema.
Leo jioniYako lini bibie?
Duh..ukisikia gundu ndo hili, nilikuwa najaribu bahati yangu.Leo jioni
Usisahau na dose ya maji ya kunywaHa ha ha ha
damu yangu chafu sana aisee, naishia kupata kina Maimuna wa Tandale tu, wale ambao ma-role modal wao ni kina Wema Sepetu na Aunt Ezekiel, ipo siku ntaenda kigamboni kuogelea asubuhi mpaka jioni kusafisha nyota, we subiri tu
teh teh teh ,
Hapana anaaminisha yule jamaa wa dose ya maji ili uwe whiteUnamaanisha King of all Bloggers?
he !! umejuaje!! we wampenda nanii?Hongera kwao.....
Huyo dada anampeda sana Mr blue..
Mpunga umetembeaBakwata wanaharibu dini hii,hereni ya mr blu hakuiona huyo ustadh au?