Nilikuvuta ili uje, yale mavazi alivaa yesu PIA, kama wapenda Sana dini ifie bas, ndo ntakuona mwanamke haswa
Man water kaoaMan water, Ray mzee wa maji
Mmmh kweli? Kamuoa nani?Man water kaoa
Mbona hata humu jf ndoa yake tuliijadili, ila sikumbuki jina la yule dada aliyemuoa, mtoto mmoja mkareeMmmh kweli? Kamuoa nani?
Kama yapi? MkuuMa baibui yanafichaga mengi kumbe!. Lol!
Mmh chuchu Hans? Sijasikia hiyo ndoa bila shaka kaoa karudi kuishi kwa mama ake.... Na mke hapo hapo, maza atakua kawapa chumba lolMbona hata humu jf ndoa yake tuliijadili, ila sikumbuki jina la yule dada aliyemuoa, mtoto mmoja mkaree
Kama yapi? Mkuu
Hapana , sio chuchu hans, msichana mwenyewe sio maarufuMmh chuchu Hans? Sijasikia hiyo ndoa bila shaka kaoa karudi kuishi kwa mama ake.... Na mke hapo hapo, maza atakua kawapa chumba lol
Kie Kie Kie KieMwana mjaa lana,hasidi mkubwa wewe.
Kumbe ambao tunaona kwa jicho la tatu tuko wengi[emoji12]Huyo bi harusi ana mtoto wa tatu tumboni eeh
Mkuu una uhakika na ulichokiandika?Amezini weeeeeeeeee sasa ndo kaoa,siku zote zilizopitz hata kama alikua anafanya ibada ni sifuri tu,baada ya ndoa sasa akifanya ibada sawa,mimi simuungi mkono wala simpongezi kwa kuzaa watoto wa zinaa.kwa waumini wa kiislamu wanalijua hilo.
Hata dhambi zikiwa nyekundu kama damu ukitubu zinakuwa nyeupe kama theluji.....ni furaha kuu machoni pa bwana pale mkosaji mmoja anapotubu...tuendelee kutenda dhambi ili neema izidi???Mkuu una uhakika na ulichokiandika?
Bibie mbona umefika mbali sana.....mbona unashindwa kuonyesha ustaarabu kwenye imani za watu....??Kweli kabisa, na PIA na mifuko ya Rambo wanaficha kwenye hizo gaun zao nyeupe
Ubuyu umenipita hongera zake, sipati picha wanavopishana kwenye dressing table na mke wake, huyu kashika wanja huyu kashika poda, huyu lipstic, huyu mascara, ray wembe anatinda nyusi ni sheedaHapana , sio chuchu hans, msichana mwenyewe sio maarufu
Teh watoto wawili na nusu na ndoa safi sana teh tehKumbe ambao tunaona kwa jicho la tatu tuko wengi[emoji12]
Safi sana""MZINIFU AMUOE MZINIFU MWENZIE""Amezini weeeeeeeeee sasa ndo kaoa,siku zote zilizopitz hata kama alikua anafanya ibada ni sifuri tu,baada ya ndoa sasa akifanya ibada sawa,mimi simuungi mkono wala simpongezi kwa kuzaa watoto wa zinaa.kwa waumini wa kiislamu wanalijua hilo.