Mr. Blue afunga ndoa

Mr. Blue afunga ndoa

Mbona hata humu jf ndoa yake tuliijadili, ila sikumbuki jina la yule dada aliyemuoa, mtoto mmoja mkaree
Mmh chuchu Hans? Sijasikia hiyo ndoa bila shaka kaoa karudi kuishi kwa mama ake.... Na mke hapo hapo, maza atakua kawapa chumba lol
 
Amezini weeeeeeeeee sasa ndo kaoa,siku zote zilizopitz hata kama alikua anafanya ibada ni sifuri tu,baada ya ndoa sasa akifanya ibada sawa,mimi simuungi mkono wala simpongezi kwa kuzaa watoto wa zinaa.kwa waumini wa kiislamu wanalijua hilo.
Mkuu una uhakika na ulichokiandika?
 
Mkuu una uhakika na ulichokiandika?
Hata dhambi zikiwa nyekundu kama damu ukitubu zinakuwa nyeupe kama theluji.....ni furaha kuu machoni pa bwana pale mkosaji mmoja anapotubu...tuendelee kutenda dhambi ili neema izidi???

Haya maneno yote yaliyotokana na Bible yana-justify umuhimu wa mkosaji anapotubu!...pia tusihukumu tusijehukumiwa.

Mr.Blue kafanya jambo la maana kurudi "kundini"[emoji106]
 
Hapana , sio chuchu hans, msichana mwenyewe sio maarufu
Ubuyu umenipita hongera zake, sipati picha wanavopishana kwenye dressing table na mke wake, huyu kashika wanja huyu kashika poda, huyu lipstic, huyu mascara, ray wembe anatinda nyusi ni sheeda
 
Amezini weeeeeeeeee sasa ndo kaoa,siku zote zilizopitz hata kama alikua anafanya ibada ni sifuri tu,baada ya ndoa sasa akifanya ibada sawa,mimi simuungi mkono wala simpongezi kwa kuzaa watoto wa zinaa.kwa waumini wa kiislamu wanalijua hilo.
Safi sana""MZINIFU AMUOE MZINIFU MWENZIE""
 
Mkuu asrams,katika uislam tunafundishwa tuikimbie zinaa,kama ukiishi na mwanmke bila ya ndoa,kila siku wewe unaandikiwa dhambi,na ukizaa nae ni mtoto wa zinaa,ambae kiislamu baba huna mamlaka ya kumuozesha.sasa hyo msanii amezaa watoto wawili ndo anafunga ndoa,tena kwa kukupa faida katika mirathi ya kiislamu hawaruhusiwi kurithi.
 
Back
Top Bottom