BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Kwani talaka ni jambo jema? Sikujua.Nilifikiri utawaombea mabaya kumbe
"Taraka" mmmmmmmmmm
Salama mkuu umeamkaje?Nimesahau kiongozi. Habari za asubuhi?
siku zote zilizopita hata kama alikua anafanya ibada ni sifuri tuMkuu asrams,katika uislam tunafundishwa tuikimbie zinaa,kama ukiishi na mwanmke bila ya ndoa,kila siku wewe unaandikiwa dhambi,na ukizaa nae ni mtoto wa zinaa,ambae kiislamu baba huna mamlaka ya kumuozesha.sasa hyo msanii amezaa watoto wawili ndo anafunga ndoa,tena kwa kukupa faida katika mirathi ya kiislamu hawaruhusiwi kurithi.
Salama mkuu umeamkaje?
Asee mama Kheri ni kisu balaaa...Staa wa muziki wa Bongo Fleva Kheri Sameer ambaye wengi tumemzoea kwa jina la Mr Blue, leo April 14 2016 hatimaye ameamua kufunga ndoa na mama wa watoto wake Waheeda.
Mr Blue amefunga ndoa na Waheeda ambaye amezaa nae watoto wawili wa kwanza akiwa wa kiume na wa pili akiwa wa kike, Mr Blue amefunga ndoa kimya kimya bila watu wengi kufahamu na inatajwa kuwa asilimia kubwa ya waliohudhuria ni ndugu wa familia na baadhi ya marafiki.
Source: PICHA 8: Mr Blue kafunga ndoa na mama watoto wake | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
Kwani aliyemfungisha ndoa ni mchungaji wa kanisa gani?Amezini weeeeeeeeee sasa ndo kaoa,siku zote zilizopitz hata kama alikua anafanya ibada ni sifuri tu,baada ya ndoa sasa akifanya ibada sawa,mimi simuungi mkono wala simpongezi kwa kuzaa watoto wa zinaa.kwa waumini wa kiislamu wanalijua hilo.
Subir kidogo mashauzi classic watakuja kinyume nyumeKwani aliyemfungisha ndoa ni mchungaji wa kanisa gani?
Anaitwa Matilda Ji..y, yuko poa huyo dada katulia na kichwan siyo kiazi mana ana elimu kiasi..Japo alikuwa nyoka anaeng'ata kimyakimya naimani ameacha mana ukubwa dawaHuyo bi harusi ana mtoto wa tatu tumboni eeh
Nyoka kivipi?Anaitwa Matilda Ji..y, yuko poa huyo dada katulia na kichwan siyo kiazi mana ana elimu kiasi..Japo alikuwa nyoka anaeng'ata kimyakimya naimani ameacha mana ukubwa dawa
Hata usipomuunga mkono ye anapungukiwa nini,na wapi Quran imeandika watoto wa zinaa au wewe ndo wasemaAmezini weeeeeeeeee sasa ndo kaoa,siku zote zilizopitz hata kama alikua anafanya ibada ni sifuri tu,baada ya ndoa sasa akifanya ibada sawa,mimi simuungi mkono wala simpongezi kwa kuzaa watoto wa zinaa.kwa waumini wa kiislamu wanalijua hilo.
We umejuaje kama si kitabu cha dini yangu?Wanaoijua hawasemi lolote,kwa kuwa wewe sio kitabu cha dini yako,huwezi kujua,fuatilia maoni yangu kwenye uzi huu utanielewa,vinginevyo unataka mabishano ya dini humu.
Mkuu asrams,katika uislam tunafundishwa tuikimbie zinaa,kama ukiishi na mwanmke bila ya ndoa,kila siku wewe unaandikiwa dhambi,na ukizaa nae ni mtoto wa zinaa,ambae kiislamu baba huna mamlaka ya kumuozesha.sasa hyo msanii amezaa watoto wawili ndo anafunga ndoa,tena kwa kukupa faida katika mirathi ya kiislamu hawaruhusiwi kurithi.
Maji a.k.aUmemsahau yule jamaa anayeishi kwao mpaka leo, eti mama yake amemzuia kuondoka "home"
Nani alikuwa anamega hapo?Anaitwa Matilda Ji..y, yuko poa huyo dada katulia na kichwan siyo kiazi mana ana elimu kiasi..Japo alikuwa nyoka anaeng'ata kimyakimya naimani ameacha mana ukubwa dawa