BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Tena kwa kukufahamisha zaidi mkuu asrams,uislamu uliweka hizi sheria ili waislamu waache uzinifu na wasizae nje ya ndoa,kwani tunaafumdishwa mzinifu lazima ataoa mzinifu mwenzie,nadhani nimekupa mwanga kidogo kuhusu uislam na ndoa