Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusoma hujui hata picha huoni!?Duh..ukisikia gundu ndo hili, nilikuwa najaribu bahati yangu.
Bakwata wanaharibu dini hii,hereni ya mr blu hakuiona huyo ustadh au?
Unadhani Diamond angeangalia na kuzingatia picha za IG leo hii angekuwa na Zari?Kusoma hujui hata picha huoni!?
Kweli kabisa, na PIA na mifuko ya Rambo wanaficha kwenye hizo gaun zao nyeupeBAKWATA Wao wanachojali ubwabwa Tu Kuna mashehe wanakuja na pilipili zao.
Mwana mjaa lana,hasidi mkubwa wewe.Kweli kabisa, na PIA na mifuko ya Rambo wanaficha kwenye hizo gaun zao nyeupe
Hahahahaa..watu mnamambo.Kweli kabisa, na PIA na mifuko ya Rambo wanaficha kwenye hizo gaun zao nyeupe
Ukweli unauma Sana, by the way do you think that am stupid as you?am surely you are cursed with your nameMwana mjaa lana,hasidi mkubwa wewe.
NonsenseUkweli unauma Sana, by the way do you think that am stupid as you?am surely you are cursed with your name
Nakupendea hapo tu! Jumaa Kareem!!!= talaka
Kwahiyo kwa lugha nyepesi na rahisi zaidi tunaweza kusema kuwa Mr Blu kamuoa mkewe na mkewe kaolewa na mumewe.
Si ndio eti..???
Hahahahahaha! Umenichekesha kweliHongera zake, bye bye baridi....
We Fala kuuza duka la kaka ako usipate jeuri ya kukebehi dini za watu..UselessKweli kabisa, na PIA na mifuko ya Rambo wanaficha kwenye hizo gaun zao nyeupe
Na wewe ndezi mambo ya Bakwata yameingiaje hapaBAKWATA Wao wanachojali ubwabwa Tu Kuna mashehe wanakuja na pilipili zao.
Zitto kabwe.. Ray..Nimependa sana blue alichofanya,iko mijitu umri unaenda kipato kipo kazi kuzini tu.
cc kiba,mond,gk,fa,ay,joh nk.