Mr. Blue em tuambie juu ya ''PESA''...

Mr. Blue em tuambie juu ya ''PESA''...

namwaga note km mtt wa fisadi.hahahaha kweli kajitahidi kuchana
 
Ngoja nitatoa nondo kesho.now nacheck eatv kuna pembe na senga wananiondolea stress hapa!
 
nilikuwa namjibu excellent sema nashindwa kumtag specific person coz bado cjaizoea jf data c kwamba namsema blue
 
nilikuwa namjibu excellent sema nashindwa kumtag specific person coz bado cjaizoea jf data c kwamba namsema blue

ok.. WATAKA KUSEMA NINI...?
JUST SAY IT IN PLAIN.

Funguka bila ku quote.
 
data unaposema Mr,Blue anajua unaniangusha,mi kwa hawa wasanii wa sasa namkubali Darasa[SUB]​[/SUB]
 
Last edited by a moderator:
data unaposema Mr,Blue anajua unaniangusha,mi kwa hawa wasanii wa sasa namkubali Darasa[SUB]​[/SUB]

darasa anamkopi na kumpest FID..+++
SO NAONA KAMA HUNIELEWI.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom