Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
fid q alikuwa anacopy maneno ya wasanii wa mamtoni halafu anajifanya anatoa nahau,hata beat anacopy.darasa anamkopi na kumpest FID..+++
SO NAONA KAMA HUNIELEWI.
Darasa anamkubali Fid Q ila hamwigi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fid q alikuwa anacopy maneno ya wasanii wa mamtoni halafu anajifanya anatoa nahau,hata beat anacopy.darasa anamkopi na kumpest FID..+++
SO NAONA KAMA HUNIELEWI.
we shabiki wa ngwea na blue full stop usifiche hisiaim talkin about Blue SIR...
KWA SASA BLUE KAMUENZI NGWEA..KWA WIMBO WAKE HUU..
Anatumwa kununua gazeti na dogo hamidu. Mia
Dogo hamidu nae n gwiji wa unga pale manyanyaa,polic wanamjua sema wanawaogopa kakazake nÀ yye mwenyew,hana hit track k hvo but anamkalisha blue k pesa mpka unathubutu kusema anauwezo wa kumtuma byser gazet,,,,Nyandu Toz manyanya sio mbali toka Obey,watch ya steps achana na cocktail,system @ work,tunawapenda.
Nmeusikiliza. Hauna viwango hata robo ya ngwair hajafikia. Mia
wivu wa kike..
Dogo hamidu nae n gwiji wa unga pale manyanyaa,polic wanamjua sema wanawaogopa kakazake nÀ yye mwenyew,hana hit track k hvo but anamkalisha blue k pesa mpka unathubutu kusema anauwezo wa kumtuma byser gazet,,,,Nyandu Toz manyanya sio mbali toka Obey,watch ya steps achana na cocktail,system @ work,tunawapenda.
Mimi nmemuelewa Kiboko. Hawa wakina nyandu na blue huwezi kuwaelewa kama hujui mambo yanayo tendeka kwenye ile gari nyekundu ya blue na tule bonge anayependa jumuendesha blue wa pale magomeni. Wakina bitoz wanamtuma magazeti asubuhi kwa kuwa wanamzidi hela. MiaDuu yahitaji moyo !! Mi nimesoma weeee nikarudia weeeeee daaa !! Hii nafikiri ni fikizoro languaje !!
wivu wa kike..
data unaposema Mr,Blue anajua unaniangusha,mi kwa hawa wasanii wa sasa namkubali Darasa[SUB]​[/SUB]
figganigga acha kujichanganya.. Blue huu wimbo wake maudhui yake tofauti kabisa na hiyo mistari ya ROMA..
THEME/CONTENT...
jamaa anajua na always anaongea pointsUkiusikia huu wimbo wake unarelax. Uongo?
nishike mkono by Darasa ft Winnie
(intro;Winnie)
Nobody see me cry all I know
Nobody by my side Mungu nishike mkono
Nishike mkono
(verse1)
Mwili kama unavidonda ukinigusa tu naumia
Kichwani mzigo wa dhambi gunia kwa magunia
Dunia sinia pakua unachoweza
Rudisha kwenye njia walimwengu washanipoteza
Mpaka leo mwanangu yupo magereza
mtoto wa jirani anasomeshwa uingereza
baba ake athumani amekufa mvuvi wa pweza
wana utajiri wa imani masikini wa kifedha
Washanichimbia kaburi wanizike nahema
Washakata miti ya kivuri mifereji ya neema
Unaeza kuta unaemwamini ndio anakuwekea sumu
Hawana alama binadamu wanaokuja kukuhumu
Mwili umechoka naforce tu kuendelea
Mpaka naogopa wapi naenda kutokea
Hata nikiokoka nani ataniletea
Nisipotoka maisha yananitokea
(chorus:Winnie)
Nobody see me cry all I know
Nobody by my side Mungu nishike mkono
nishike mkono nishike mkono
nishike mkono nishike mkono
nishike mkono nishike mkono mkono
(bridge:Winnie)
kumekucha nipo njia panda sioni hata pa kuelekea
na kiza ndio kinatanda niendako nani wa kunipokea
nishike mkono nishike mkono
nishike mkono nishike mkono
nishike mkono nishike mkono mkono
(verse2)
unajikuta uko peke yako giza kubwa kwenye mtaa
huoni ndugu wala jamaa uliokuwa nao jana baa
mawazo ya karaa nafsi inakosa raha
upepo mkali na baridi bila koti la kiuvaa
unauliza mungu yu wapi akuonyeshe njia
kelele za uchungu na hakuna anayekusikia
usitamani kiatu changu ukikivaa hutembei
ikiwa siku mbaya ndio masaa hayatembei
(chorus:Winnie)
Nobody see me cry all I know
Nobody by my side Mungu nishike mkono
nishike mkono nishike mkono
nishike mkono nishike mkono
nishike mkono nishike mkono mkono
(verse3)
imagine maisha ya mtoto bila ya mzazi wa kumlea
nambie ndoto za wangapi mtaani zimepotea
imagine mzazi wa lulu maumivu aliyojibebea
sometime tunaishi nje ya malengo tumejiweka
kifuani kama kuna moto moyo wangu unaungua
maumivu nayoisi usitamani kuyajua
nashindwa kupiga hatua muoga nasua sua
maji yakiwa shingoni ndio tunakumbukaga dua
nashindwa kuchagua kati ya mvua na jua
kuna kitu kimemis nawaza kukigundua
natamani kuwa mtoto kibaya aiwez kuwa
vazi la dhambi nilovaa halitakati hata nikilifua
Mwili umechoka naforce tu kuendelea
Mpaka naogopa wapi naenda kutokea
Hata nikiokoka nani ataniletea
Nisipotoka maisha yananitokea
Mwili umechoka naforce tu kuendelea
Mpaka naogopa wapi naenda kutokea
Hata nikiokoka nani ataniletea
Nisipotoka maisha yananitokea
(chorus:Winnie)
Nobody see me cry all I know
Nobody by my side Mungu nishike mkono
nishike mkono nishike mkono
nishike mkono nishike mkono
nishike mkono nishike mkono mkono
Mia
Mkuu hata ubora ujumbe ni tofauti.
Nikubaliane na wewe kwamba kumlinganisha blue na rima ni sawa na kumuonea bkue. Sawa? huo wimbo wa blue hautofautiani na ule wa msanii nyasi wa mbagala. Mia