Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Hilo jina lako mbona linanipa preshanamwaga note km mtt wa fisadi.hahahaha kweli kajitahidi kuchana
kwa wimbo huu..nimempa heshim BLUE.,na nimejikuta nikimkumbuka ALBERT(RIP)..
ok.. WATAKA KUSEMA NINI...?
JUST SAY IT IN PLAIN.
Funguka bila ku quote.
Una jina nzuri aisee ndo presha yenyewe inavyonitesahahahaha mbona lakawaida tu presha ya nn tena?
Una jina nzuri aisee ndo presha yenyewe inavyonitesa
hehehehe we cheka tu mana ukicheka unapendeza piahahahahaha