Mr. Blue em tuambie juu ya ''PESA''...


hapa tunamuongelea blue na style yake ya soft rap,na sio hiphop..
ukiongelea hyo hiphop hakuna wa kumfikia FID Q,WEUSI,LONDUNO..
 
hapa tunamuongelea blue na style yake ya soft rap,na sio hiphop..
ukiongelea hyo hiphop hakuna wa kumfikia FID Q,WEUSI,LONDUNO..

ndio ninachokimaasha..
Thanx.
 
hapa tunamuongelea blue na style yake ya soft rap,na sio hiphop..
ukiongelea hyo hiphop hakuna wa kumfikia FID Q,WEUSI,LONDUNO..

Hahahaaaa...!!!. hata hivyo hakuna soft rap, ikishakuwa soft hiyo ni blues. Rap inabidi iwe ngumu nyeusi. Ndo maana mumeshindwa kumsoma blue. Kwenye rap hayupo blues hayupo so anafanya mziki gani?. huu wimbo utachuja kabla hata ya kupigwa radioni. Mashairi yake ya majigambo, kama majigambo tumpambanishe na godzilla au chid benz.
Tuseme hivi blue atabaki kuwa blue na ngair hivyo hivyo.
 
jamani naomba mwenye link ya wimbo wa Hello wa nay wa mitego atupie hapa naupenda sana
 
tuletee MASHAIRI MENGINE YA KU PARTY TUYALINGANISHE NA YA WIMBO WA BLUE.. WEKA MBALI CONSCIOUSS HIPHOP..
TUNAPARTY HAPA..

marry me by Rich Mavoko


tulivo kama mapacha, hawapendi wanasema
pindi tupo karibu, walitamani nipate ukilema

walisema penzi limeni'oversize, so kweli
mbona machoni nime'realize, washafeli
mbona, na nimepanga nikirudi, ntakuletea zawadi
iwe dhahabu au rubi, utaikuta kwa mama richard
ila nimempanga nikirudi, ntakuletea zawadi
iwe dhahabu au rubi, utaikuta kwa mama richard

'will you baby, marry me?'
'oh baby you marry me'
' I think baby you'll marry me'
'oh baby you marry me'

'will you baby, marry me?'
'oh baby you marry me'
' I think baby you'll marry me'
'oh baby you marry me'

haya, will you marry me?
haya, i think you'll marry me
haya, will you marry me?
haya, i think you'll marry me

Puliza kama ya moto, hebu punguza utoto
hawakufunzwa mkoleni, wanapenda chokochoko
ah bado ka muda kadago, sitachelewa kurudi
punguza hasira za mbogo, wala sifanyi kusudi

walisema penzi limeni'oversize, so kweli
mbona machoni nime'realize, washafeli
mbona, na nimepanga nikirudi, ntakuletea zawadi
iwe dhahabu au rubi, utaikuta kwa mama richard
ila nimempanga nikirudi, ntakuletea zawadi
iwe dhahabu au rubi, utaikuta kwa mama richard

'will you baby, marry me?'
'oh baby you marry me'
' I think baby you'll marry me'
'oh baby you marry me'

'will you baby, marry me?'
'oh baby you marry me'
' I think baby you'll marry me'
'oh baby you marry me'

haya, will you marry me?
haya, i think you'll marry me
haya, will you marry me?
haya, i think you'll marry me

will you marry me?
i think you'll marry me
yeah oh oh uh uh uhhh
yeah oh!

'will you baby, marry me?'
'oh baby you marry me'
' I think baby you'll marry me'
'oh baby you marry me'

'will you baby, marry me?'
'oh baby you marry me'
' I think baby you'll marry me'
'oh baby you marry me'

haya, will you marry me?
haya, i think you'll marry me
haya, will you marry me?
haya, i think you'll marry me. Mia
 
style anayofanya BLUE, ndo ileile aliyokua anafanya NGWAIR,na ndo ile wanayofanya akina CASSIDY,BOW WOW,NELLY(AKIRAP)..
ushauckiliza wimbo wa NGWAIR - BATA KILA SEHEMU,au CNN,kuna nini zaid ya kujisifu hadi kwa BLUE uone ndio kosa Kujisifu,.
NATABIRI WIMBO UTAVUMA SANA
 

shukrani sana kwa kuendelea mpa somo figganigga licha ya kwamba ni mgumu kuelewa...
 
Last edited by a moderator:
hapa tunamuongelea blue na style yake ya soft rap,na sio hiphop..ukiongelea hyo hiphop hakuna wa kumfikia FID Q,WEUSI,LONDUNO..
Kama ndo hivyo unasema kulikua na muhimu gani wa kunitukana?wakina juma sijui mkoje hamuezi kuelezea kitu bila kutumia lugha za kuudhi?. mia
 
Kama ndo hivyo unasema kulikua na muhimu gani wa kunitukana?wakina juma sijui mkoje hamuezi kuelezea kitu bila kutumia lugha za kuudhi?. mia

mkuu,neno wivu wa kike JF kama unaingiaga jukwaa la siasa sio tusi ila tunalitumia for fun..

alaf m sio muislam huku kwetu mbeya majina tunatoa bila kujali dini
 
Dah, mashairi mazito sana. Tunaishi nje ya malengo tuliynjiwekea
 
....ni vigumu sana kuelewa blue anafanya mziki wa aina gani kama wewe si mwana muziki.... He can move whichever way he likes...

He got that talent...
 
figganigga ...!! What do you say now.??

Eat ur own words..!!

The song is a HIT.
 
Last edited by a moderator:
figganigga ...!! What do you say now.??

Eat ur own words..!!

The song is a HIT.

tangia uniambie leo ndo nmeusikia kwenye radio. ukifanya vizuri ni vizuri. hata mimi napenda ufanye vizuri lakini ukweli utabakia kuwa ukweli hata ukipingwa na watu elfu moja. je nyimbo zinazo fanya vizuri ni nzuri na zisizo fanya vizuri ni mbaya?. mimi huo wimbo sijaukubali. Kwa bongo hata mimi naweza kuhonga wimbo wangu ukaonekana unafanya vizuri.baada ya mwezi ntakuuliza na mimi wapi umesikia ukipigwa. mia:fencing:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…