Mr. Blue: Mabinti walikuwa wanajipanga maskani kunisubiria, nachagua wa kuondoka nae

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969

Mr. Blue Anadai kuwa kutokana na ustaa aliokuwa nao, wasichana wengi walimtaka na yeye alichokifanya ni kuchagua amtakaye na kumpa mambo. Blue anasema enzi hizo alikuwa playboy haswaa!

Anasema yeye alikuwa hajui kutongoza mwanamke na wasichana walikuwa wanakuja kwake anachagua wa kuwa naye kisha anawaambia wenzake waliyekuja nae aondoke au mpenzi wake anakuja na rafiki yake kisha anamuambia wewe leo sikutaki namtaka rafiki yako leo wewe ondoka na anaondoka na kesho yake anarudi tena.

Ameongezea kuwa wasichana wengi walikuwa wakija na kujazana maskani yeye anachagua tu utafikiri walikuwa wanasubiria hela.
 
MWAKA HUU ANKALI MKULU KUKAYA ATAKOMA...

TAIFA LA VIWANDA HALIWEZI KUJA KWA MAWAZO HAYA YA BLUE NA HAO WALIOKUWA WAKIENDA MASKANI KUSUBIRIA KING MSWATI ACHAGUWE KINYAMA CHA KUTAFUNA USIKU HUO.....

TAIFA LA VIWANDA BADO NI NDOTO INAYOITAJI ONGEZEKO LA MASAA YA USIKU ILI IKAMILIKE.
 
Ana ustaa gani huyo
 
Nnavyomfahamu Mr. Bluu sio mtu wakuongeaongea ujingaujinga kwenye media, sio mtu wa kutafuta kiki za kijinga, ila sijui nini kimemkuta mwakahuu, tokea ishu ile ya Sugu kilasiku anaibuka na mpya
 
Atakuwa ameshajiharibia swaumu, kama alifunga hata hivyo!
 
Sa kwani sifa.. Baada ya kupiga mambo daily amefaidika nn.. ?? Upuuz mtupu #nchiyamwendokasi
 
kwani kipindi kile blue alikua ameshabalehe kweli? Enzi za umaarufu wake kalikua katoto basi mabinti walikua wanam baka huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…