Mr. Blue: Mabinti walikuwa wanajipanga maskani kunisubiria, nachagua wa kuondoka nae

Mr. Blue: Mabinti walikuwa wanajipanga maskani kunisubiria, nachagua wa kuondoka nae

Nnavyomfahamu Mr. Bluu sio mtu wakuongeaongea ujingaujinga kwenye media, sio mtu wa kutafuta kiki za kijinga, ila sijui nini kimemkuta mwakahuu, tokea ishu ile ya Sugu kilasiku anaibuka na mpya
Na hao media hawamtafute kila mtuu wew ... wanawatafuta wenye nyota zao ili na wao waudhe ... blue sasa kawa black .. ganja life ...
 
Back
Top Bottom